Inawezekana we mleta mada ikawa hujamuelewa
Lakini hivyo ndivyo vitasisi vinavyotoa wahitimu wanaoajilika na kujua kazi. mfano wahasibu wengi wa universities except wa Mzumbe wengi wao ni tia maji sana.Ndio, yupo sahihi
Hivyo vitaasisi havipo kwenye orodha ya vyuo vikuu nchini
Sijui ni unasumbuliwa na ugumu wa kuelewa au nini. Hakuna aliyesema hawaajiriki. Hoja iliyopo mezani ni kwamba hizo taasisi haziitwi vyuo vikuu. Simple, usichoelewa ni nini hapo ?Lakini hivyo ndivyo vitasisi vinavyotoa wahitimu wanaoajilika na kujua kazi. mfano wahasibu wengi wa universities except wa Mzumbe wengi wao ni tia maji sana.
Ficha upumbavu wako, kutoa shahada sio kigezo cha kufanya taasisi iitwe chuo kikuuhivi watu wakienda kuhojiwa clouds tv akili zinakuwaje.
hapa naona jamaa anakwambia IFM na CBE sio vyuo vikuu.
sasa degree na zinatolewaje hapo !
labda mimi ndo sielewi au!
View attachment 1927807
Ni college examination kwa watu wa NACTENa hili neno la UNIVERSITY EXAMINATION mbona linatumika kwa wote sasa
Ficha upumbavu wako, kutoa shahada sio kigezo cha kufanya taasisi iitwe chuo kikuu
Ficha upumbavu wako, kutoa shahada sio kigezo cha kufanya taasisi iitwe chuo kikuu
Lete mfano wa tangazo la kazi lilioandikwa wanataka muombaji awe wa chuo kikuu.asante kwa kuniita mpumbavu ila mwisho wa siku tangazo la kazi likija
cv wanataka watu wa vyuo vikuu .
Lete mfano wa tangazo la kazi lilioandikwa wanataka muombaji awe wa chuo kikuu.
Bwasheee, lete copy ya tangazo hapa, acha blaaa blaaamfano tosha unayo sasa unataka mifano gani!