Nachukia wanaume wanaopenda kuja kuja jikoni

Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika.yani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea ata sipendi.
Hauko romantic!
 
Wanaume wengine hiyo ni zuga tu, saa nyingine inakuwa mtu katika kuchunga mzigo wake,maana wanawake wenyewe wa siku hizi hamtabiriki nyinyi...
 
Dada jichunguze vizuri si-bure Kuna jambo hapo haliko Sawa ,,,,, NYIE NDIO MNAOPEWA ELFU ISHIRINI ( 20,000/=.) YA MATUMIZI YA SIKU,,, mume akiludi kazini anakuta UGALI TEMBELE....

Tena na uyooo mume uliempata muungwana kweli,,, Ningekuwa mim ni mumeo ningekuja KULALA uko uko jiko,,,,,

Ujinga ukaeee pembeniiii....
 
Yani utakuta mwanamke unapika kidogo tu mwanaume anafika jikoni kuangalia angalia kama msosi tayari sipendi aina hii ya wanaume aisee kwani ukikaa kusubiri chakula uko jikoni hakiivi na kama ana ujuzi na kile unachopika anaanza na kukuelekeza juu au anafika anafunua funua ulivyopika. Yaani Mimi mwanaume kuingia jikoni tu kuangalia angalia kinachoendelea hata sipendi.
Unaogopa atakufuma unaonja nyama kama imeiva?

Ila kama mumeo ana tabia hiyo mwambie aachwe au akome.
 
Back
Top Bottom