Kwa uwazi wazi JPM anapiga kazi sana. Wapo wengi walipita wala hatukuona wamefanyi. Wengine walikaa kwenye nyadhifa kuu miaka 10, miaka 2 nk lakini siwezi kusema wamefanya nini hasa.Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
ha ha ha ha duMaabara ikisema Mfalme ana minyoo sio kwamba imemtukana.
Ukipenda chongo huona kengezaSioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
hata wapigania uhuru wasingalikuwa na mawazo tofauti huenda hata sasa tungelikuwa bado watumwaupendwe na kila mtu kwani we pesa
Well received. ..hongera sana kwa kuliona hiloSioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Acha ukuda sio mtu mmoja anaweza kupendwa na watu woteSioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!
Wapigaji, wezi, matapeli, wavivu, walalamishi, majangiri, wahujumu uchumi, wenye viwanda vya uongo, wazembe, hao wote hawawezi kumpenda kamwe.Sioni ubaya wake, sioni kosa lake, sioni shida wala tatizo lake, bali naona chuki zenu, naona husuda zenu, naona utovu wenu wa nidhamu kwa kiongozi wa nchi, naona roho zenu mbaya na kukosa kazi za kufanya zaidi ya kukosoa tu kila kitu! nyie wenye sifa nilizozitaja hapo juu mmefanyia nini nchi hii????
Kila kitabu na zama zake, piga kazi JPM!!