Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

tafuta mti wa mlundalunda, palala magamba yake, loweka kwenye jagi, kunywa mara tatu kwa siku ndani ya wiki mbili,utaona matokeo.
Vipi wamasai watakuwa nao? Kwa sababu Mimi kwa mazingira niliyoko ni ngumu kuupata na hata kuujua.
 
Pole sana mkuu maana hakuna stress mbaya km za kukosa nguvu za kiume na pesa ..

Yaani nundu ya shemeji uwe unaiona tu, ila kila ukitaka kuitafuna nguvu huna?

Inauma sana, mzee pole sana
 
achana kufanya tendo la ndoa usichoke. Kuna mda mwili unahitaji kupumzika ( kukaa mbali na ngono ), hujaelewa nini sasa ?

Hata gari huwa zinahitaji services
Kwamba niache kabisa mpaka naingia kaburini nisifanye tena au? iajelewa
 
Usifakamie mbunye kama unaparamia kiporo cha wali nazi kijanaa.

Iandae mbunye vizuri, jipe hamasa wakati unaiandaa.

Anza kuitamani kuanzia kichwani.. Kisha ibidue taratibu bila haraka.

Usilee ili ukojoe; kula ili usikie Radha mdogo wangu. Mbunye a.k.a kipapatio ili kuila vizuri inahitaji maandalizi ya akili kuliko haya mazoezi na TAKATAKA nyingine
 
Fanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Pumzika masaa 8
Kula tangawizi na punje ya kitunguu swaumu
Baada ya wiki 1 utapona, ukishapona nitakupa lipa namba yangu ili ufanye malipo
ONGEZEA MBOGA ZA MAJANI NA MATUNDA KWA WINGI
 
Kama unaweza, hakikisha kila siku asubuhi unapata kijiko kimoja cha asali kabla ya kula kitu then hakikisha unakimbia angalau kilomita 2 mpaka tatu asubuhi sana na jasho hakikisha linatoka la kutosha.

Usifanye mapenzi kwa muda kidogo, angalau week 3. Kama unapiga nyeto, acha
 
Hapo labda vitu viwili tu ndo sizingatii sana mazoezi na maji mengi.
Kijana miaka 36 unashindwa nini kuzingatia mazoezi na maji mengi? Kama wewe hivi baba yako atasemaje!

Yapo mazoezi hayahitaji hata muda mrefu au kuhitaji kuyafata kama push ups, jiwekee utaratibu wa kila asubuhi unapiga push up zako Mia; unaenda kujimwagia maji kisha unaendelea na shughuli zako hii itakusaidia acha uvivu.
 
Unaposema unatoa shahawa kidogo, ina maana hazitoshi kumtia mimba mkeo?

Kuna Wakuu hapo juu wamekushauri vyema kuhusu kuzingatia mazoezi, mlo kamili pamoja na unywaji maji kwa wingi. Zingatia hayo

Pia jitahidi kula vyakula vinavyosaidia uzalishaji wa manii kwa wingi, Nazi, Korosho, Karanga, Mihogo mibichi n.k
 
Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua.

Iko hivi:

Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto mmoja.

Tatizo langu ni kuwa siku hizi huwa nachoka sana mara baada ya tendo na mgongo kuuma. Pia, kiwango cha shahawa kimepungua sana sio kama zamani.

Naweza minyana lakini nikaishia kukojoa kitone tu, kwa hivyo hali hiyo wakati mwingine inapelekea akili inakuwa inataka kuzagamua lakini mwili hautaki.
Inakuwaje mwanadamu unakubali kuwa na kitambi (yaani "Obesity" kwa lugha ya Malkia?). Kimsingi unatakiwa uwe na uzito wa kawaida (normal weight), na ikitokea umezidi sana uzito basi uwe kwenye "over weight"! Full stop!! Na siyo kuwa na kitambi (obesity). Shida itakuwa inaanzia hapa.

Fanya mazoezi ya kukutoa jasho, halafu uhakikishe unakula balanced diet, badala ya kuendekeza kula chips na mayai ya kisasa kila siku.
 
Back
Top Bottom