Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

Nachoka sana baada ya tendo la ndoa, nifanyeje?

Maana yangu sio kwamba nachoka kwa kwua naikamia, hapana, ni baada ya ejaculation haijalishi nimetumia speed Gani.

In short, ni kwamba nimechoka sana.
Zingatia vitu hivi 🤔
O1. Push ups 50 to 100 everyday consistently..
O2. Hakikisha haipiti day hujala Tango, Ndizi na Chungwa.. at least two of them..
O3. Mlo uskose mboga mboga but si tembele wala kisamvu zingatia mchicha, skuma wiki, figili or mnavu..
O4. Kula nuts kiganja kimoja every single day 🤔 .. any of it cashew nuts or peanuts 🥜..
O5. Kunywa maziwa after every two or three days.. You'll thank me brother 😊
 
pole mkuu ila zingatia mtu aliesema mazoezi na lishe nzuri hivyo tu mkuu ongeza na la kuacha kupiga punyeto pia,unajimaliza nguvu bure na kuichosha ubongo na misuli ya kiungo husika
mmmh we nae kua basi usikue mwili tu unatakiwa ukue akili kadri umri unavyoongeka akili nayo iongezeke mtu ushaambiwa nina mke haya hiyo punyeto napigaje sasa.
 
Wakuu naombeni ushauri wa kitaalam pengine Kuna changamoto ya ugomjwa inanisumbua bila Mimi kujua.

Iko hivi:

Mimi ni kijana wa miaka 36 na nina kitambi cha wastani flani tu. Nina mke na mtoto mmoja.

Tatizo langu ni kuwa siku hizi huwa nachoka sana mara baada ya tendo na mgongo kuuma. Pia, kiwango cha shahawa kimepungua sana sio kama zamani.

Naweza minyana lakini nikaishia kukojoa kitone tu, kwa hivyo hali hiyo wakati mwingine inapelekea akili inakuwa inataka kuzagamua lakini mwili hautaki.
Hachana na hilo tendo utakuja fia hapo juu chief.
 
Unafanya tendo kila baada ya muda gani, na je unadumu kwenye tendo kwa muda gani?
Kama goli lako linachelewa na huwa unalifosi kuja lazima mwili uchoke.. ila kwa goli la kwanza 1 kulifosi kuja huo nao ni ugonjwa.

Fanya mazoezi mkuu, shughulisha mwili huo, kula nuts sana..
Umeuliza swali zuri sana kwangu mimi minimum days kusex ni baada ya siku 3 na kweli bao la kwanza nilakuforce.
 
Fanya mazoezi
Kunywa maji mengi
Pumzika masaa 8
Kula tangawizi na punje ya kitunguu swaumu
Baada ya wiki 1 utapona, ukishapona nitakupa lipa namba yangu ili ufanye malipo
Bila kusahau lishe pia kama lishe ni mbovu fanya vitu vyote ila ni kazi bure.
 
Back
Top Bottom