Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 Feb 15, 2014 #61 Generator likiisha mafuta anahamia kwenye solar.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,279 Reaction score 38,855 Feb 15, 2014 Thread starter #62 miss chagga said: siogopi ila sitaki kuomba Click to expand... Si umesema haki sawa? anzia kwenye kuomba!
miss chagga said: siogopi ila sitaki kuomba Click to expand... Si umesema haki sawa? anzia kwenye kuomba!
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 15, 2014 #63 G Sam said: Si umesema haki sawa? anzia kwenye kuomba! Click to expand... naomba hapo
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,310 Feb 15, 2014 #64 Hili jina nabatiza mtu sasa hivi.
Valentina R I P Joined Oct 12, 2013 Posts 24,688 Reaction score 28,834 Feb 15, 2014 #65 Excel said: kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..! kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa! no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB! Click to expand... Aisee!!!!
Excel said: kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..! kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa! no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB! Click to expand... Aisee!!!!
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,279 Reaction score 38,855 Feb 15, 2014 Thread starter #66 miss chagga said: naomba hapo Click to expand... Chukua mama..nimepewa bure tena nimezidishiwa ukubwa natoa bure..wala sina hiyana!
miss chagga said: naomba hapo Click to expand... Chukua mama..nimepewa bure tena nimezidishiwa ukubwa natoa bure..wala sina hiyana!
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,279 Reaction score 38,855 Feb 15, 2014 Thread starter #67 tinna cute said: Hili jina nabatiza mtu sasa hivi. Click to expand... What?? mwanaume mwenzangu analizwa hivihivi!!!
tinna cute said: Hili jina nabatiza mtu sasa hivi. Click to expand... What?? mwanaume mwenzangu analizwa hivihivi!!!
tinna cute JF-Expert Member Joined Sep 22, 2013 Posts 4,630 Reaction score 2,310 Feb 15, 2014 #68 G Sam said: What?? mwanaume mwenzangu analizwa hivihivi!!! Click to expand... Lazima nimlize coz najua anytime nalizwa.
G Sam said: What?? mwanaume mwenzangu analizwa hivihivi!!! Click to expand... Lazima nimlize coz najua anytime nalizwa.
City hunter j JF-Expert Member Joined Mar 1, 2013 Posts 926 Reaction score 380 Feb 15, 2014 #69 miss chagga said: siogopi ila sitaki kuomba Click to expand... Reason behind?
excel JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 22,434 Reaction score 17,862 Feb 15, 2014 #70 'Valentina' said: Aisee!!!! Click to expand... tonykp mzima? ila we mtoto mmmmbaya wewe!!!
Ngalikihinja JF-Expert Member Joined Sep 1, 2009 Posts 34,637 Reaction score 37,959 Feb 15, 2014 #71 tinna cute said: Lazima nimlize coz najua anytime nalizwa. Click to expand... halafu jina lako na uliyoyaandika havifanani...
tinna cute said: Lazima nimlize coz najua anytime nalizwa. Click to expand... halafu jina lako na uliyoyaandika havifanani...
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 15, 2014 #72 G Sam said: Chukua mama..nimepewa bure tena nimezidishiwa ukubwa natoa bure..wala sina hiyana! Click to expand... Asante baba naja kula tamu hiyo ... tamu ya mammaaaa aaaa tamu ya mamaaaaaa aha
G Sam said: Chukua mama..nimepewa bure tena nimezidishiwa ukubwa natoa bure..wala sina hiyana! Click to expand... Asante baba naja kula tamu hiyo ... tamu ya mammaaaa aaaa tamu ya mamaaaaaa aha
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 Feb 15, 2014 #73 Excel said: tonykp mzima? ila we mtoto mmmmbaya wewe!!! Click to expand... Amefanya nini binti yangu!?? Nimepita ..
Excel said: tonykp mzima? ila we mtoto mmmmbaya wewe!!! Click to expand... Amefanya nini binti yangu!?? Nimepita ..
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Feb 15, 2014 #74 Excel said: kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..! kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa! no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB! Click to expand... Wala siye atuendi mbali ukiongeza nna me naongeza haki sawa mtajuta
Excel said: kutembeza dushe mbona ndo habari ya kariakoo kwa sasa..! kwanini nijipe stress kuwa na mmoja wakati yeye mwenyewe ana listi ndefu kama mafisadi wa epa! no way... lazima tuwapange kama foleni ya NMB! Click to expand... Wala siye atuendi mbali ukiongeza nna me naongeza haki sawa mtajuta
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Feb 15, 2014 #75 G Sam said: Yote kwa yote...ila haya majina mnayotupangia siyo!!. generator.? Click to expand... kuna pande,kijambazi na fyucha.
G Sam said: Yote kwa yote...ila haya majina mnayotupangia siyo!!. generator.? Click to expand... kuna pande,kijambazi na fyucha.
G Sam JF-Expert Member Joined Apr 20, 2013 Posts 12,279 Reaction score 38,855 Feb 15, 2014 Thread starter #76 Leo nimemtumia mwanamke hela!! Sijui atakuwa ananiita nani huko aliko?? maana mmmh!!
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 Feb 15, 2014 #77 miss chagga said: siombagi game mie Click to expand... Poyeee. Inaonyesha huthamini hisia zako. Iweje ushindwe kupata tamu muda roho inataka usubiri jamaa akuombe?
miss chagga said: siombagi game mie Click to expand... Poyeee. Inaonyesha huthamini hisia zako. Iweje ushindwe kupata tamu muda roho inataka usubiri jamaa akuombe?
Window7 JF-Expert Member Joined Sep 17, 2013 Posts 4,109 Reaction score 3,054 Feb 15, 2014 #78 J.lee said: kuna pande,kijambazi na fyucha. Click to expand... Hebu sema behind ze scene me unaniiitaje wife.
J.lee said: kuna pande,kijambazi na fyucha. Click to expand... Hebu sema behind ze scene me unaniiitaje wife.
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Feb 15, 2014 #79 G Sam said: Leo nimemtumia mwanamke hela!! Sijui atakuwa ananiita nani huko aliko?? maana mmmh!! Click to expand... leo utaitwa pande best c unaheraaa.
G Sam said: Leo nimemtumia mwanamke hela!! Sijui atakuwa ananiita nani huko aliko?? maana mmmh!! Click to expand... leo utaitwa pande best c unaheraaa.
J.lee JF-Expert Member Joined Mar 20, 2012 Posts 1,672 Reaction score 834 Feb 15, 2014 #80 Window7 said: Hebu sema behind ze scene me unaniiitaje wife. Click to expand... we ni husband material!haufungamani n upande wowote yani.
Window7 said: Hebu sema behind ze scene me unaniiitaje wife. Click to expand... we ni husband material!haufungamani n upande wowote yani.