Nachati na Generator

Hebu atusaidie kuelewa maanake,hapa mwanamke ananyooshewa kidole utadhani ana shiriki ngono mwenyewe.

Me ndo maana huwa siwaelewi alafu wao ndo wanaoomba game na wala siyo sisi wakishapata tamu wanakuja kuimanga huku mie sijapenda hii tabia yao hawa wanaume...
 
ama! haya makubwa! wanawake acheni hizo za kutubadili majina kila kukicha--atm, buzi, generator--sio pouwer hata kidogo. tulieni kwa waume zenu--mbona mnakuwa hivyo?
Tunatulia je nyie mmetulia kwani ?
 
Me ndo maana huwa siwaelewi alafu wao ndo wanaoomba game na wala siyo sisi wakishapata tamu wanakuja kuimanga huku mie sijapenda hii tabia yao hawa wanaume...

It's such a shame wanaume wanapojiona kuwa wao ni watakatifu,

Huku mwanamke akionekana kuwa ni mtu asiyefaa kwenye jamii.
 
Yote kwa yote...ila haya majina mnayotupangia siyo!!. generator.?
 
wanawake wana ID nyingi sana ambazo wametufungulia mioyoni mwao achilia mbali ambazo wanazi mention wazi wazi!

kuna mdada mmoja leo masikini wa watu siku nzima simu ya mtu wake haipatikani.. conclusion aliyotoa ni huyo jamaa kuwa na kimwana mwingine.. basi ID alizo mention hapo.. nilijihisi niko kwenye chupa!

shame on us.. men and you women!
 
Nashangaa mana mapenzi naona kama yamekua magumu sana
Inabidi ukomae nayo hivyo hivyo utafanyaje sasa . Uitwe kidumu au generator uwemo tuuu lkn jamani humu kuna maneno kiasi kwamba unakua up to date. Huko nyuma niliwahi kushangaa msemo wa serengeti boys, sikua najua maana yake . Kwani kuna dada alikua ananunua kitu akasema hiki ni cha serengeti boy wangu , ikabidi niliyekua nae nimuulize baada ya kuachana na yule dada nikaeleweshwa. Nilibaki kinywa wazi kwani dada yule alikua ameolewa .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…