Roho za marehemu, wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. AMINA.
Mod atakayeiondoa hii post au member yoyote atakayeibeza bila kusema AMINA, Mungu na amuunganishe kwenye foleni ya walio karibu kufika langoni.
Nakusalimu MJ1, Kongosho, AshaDii na Teamo.
Roho za marehemu, wapate rehema kwa Mungu, wapumzike kwa amani. AMINA.
Mod atakayeiondoa hii post au member yoyote atakayeibeza bila kusema AMINA, Mungu na amuunganishe kwenye foleni ya walio karibu kufika langoni.
Nakusalimu MJ1, Kongosho, AshaDii na Teamo.
usimdanganye bana,....wengine hatujakulia kwenye mazingira ya kuabudiwa, au kufanywa "mfalme" wa nyumba!
Tena naboreka kweli kufanywa mtoto mdogo nisejua kuvua soksi...:mad2:
Maji ya kukoga, kuwekewa chakula mezani, nk sawa...lakini sio mwanaume kunyenyekewa, khaa?!
No way bana...
Mbu, wewe kwako kuvuliwa socks ni kuabudiwa kwa mwingine ni heshima.
Wee waweza kuwa unamvutia mkeo kiti ili akae mkiwa mmetoka out, kwangu ni nosense kuvutiwa kiti.
Lakini akivuta kiti nakaa.
Mwingine kumwamkia mmewe ni utumwa, wengine ni sehemu ya heshima tu.
Wengine mwanamme kutangulia mbele na kumwacha mwanamke nyuma ni hajali, kwa wengine sie ni poa tu.
Hata kama asipofanya hivyo vitu kama kufungua mlango wa gari, kunitengenezea kiti na mengine sijali, lakini akifanya haitaondoka kichwani kuwa alifanya na nitasema 'asante'
utumwa na ubwana ni definition yako mhusika tu.
mwenzangu, ukianzisha jambo hakikisha unaliendeleza la sivyo utaonekana baadaye unamapungufu. Mf. halisi ni kuwa nilipooa kati ya miezi 2-5 baada ya ndoa nilikuwa natandika kitanda nikiwa wa mwisho kuamka na pia nilikuwa nafua nguo kumsaidia my wife, ghafla kwa kuamua nilianja kuacha kidogox2, eeeeh wife akaanza kununa na kuanza kujifungia chumbani nikagundua hiyo sababu.
but kuna wanawake 'magirini' hao...
heshima wapewa 100 percent
but dah....
full maigizo
but kuna wanawake 'magirini' hao...
heshima wapewa 100 percent
but dah....
full maigizo
Pole MJ1,
Samahani sana dada, ukinifanyia hayo yote na mengine yanayofanana nayo, naamini nitakuchukia maisha yangu yote hata kama sitaomba talaka!!
Babu DC!!
usimdanganye bana,....wengine hatujakulia kwenye mazingira ya kuabudiwa, au kufanywa "mfalme" wa nyumba!
Tena naboreka kweli kufanywa mtoto mdogo nisejua kuvua soksi...:mad2:
Maji ya kukoga, kuwekewa chakula mezani, nk sawa...lakini sio mwanaume kunyenyekewa, khaa?!
No way bana...
Mkuu your faith in humanity leaves a lot to be desired..., mkuu kutokupenda kwako kufanyiwa kitu au mtu kumfanyia haya mambo mwingine does not mean kuna hidden agenda, wengine they like to do things for each other.., wao kuwa karibu na mwingine ndio kuonyesha care
Mkuu ukitoa mfano mmoja wa sista wako na mimi naweza kutoa mifano kama kumi.., haya mambo inabidi every case to be judged according to its own facts.., huwezi ukachukua facts za Mwajuma sababu alifanya hivi kuficha vile ukasema hata Halima na yeye akifanya hivi anakuwa anaficha kile kile...
Hapa cha maana wapenzi ni kuchukuliana kama walivyo, kama mazoea ya mmoja ni kumpenda kumfanyia mtu kitu (hivyo ndio anaonyesha caring, fair play to him/her) na kama wewe ni mwanaume na mwenza wako anapenda kukufanyia mambo usitake advantange ya yeye kufanya hivyo, jaribu sometimes kumwambia apumzike au mwambie kwa upole don't worry have got this.., na kama huwa anakusubiri mle wote chakula ukichelewa mpigie simu kwamba leo tachelewa endelea kula au lala usisumbuke.., na kwa mama kama akichelewa usimsubiri sana sababu unaweza ukamfanya ajifeel guilty kwamba anakusumbua..
In short hakuna msahafu au formula, watu wapo tofauti, ila kusaidiana is the name of the game, mwingine kumpokea partner wake na kumvua koti is the way of being romantic.
By the way sijawahi kusikia mtu anampa talaka mpenzi wake au kumchukia sababu ya kumfanyia vitu... KUMBUKA there is a difference ya mpenzi wako ku-act kama mama yako na ku-act kama mpenzi wako his right arm, someone he can rarely do without
Bwa'Nchuchu
I aggree with you; nakumbuka mtu wangu wa zamani, hakupenda nimpelekee Maji bafuni, anasema yeye si kilema (something to do with his ego). Niliheshimu matakwa yake, na akawa ananipelekea mimi (ambaye nilipenda kuwa spoiled).
Mwanajamii01, kama walivyosema wengi; fanya unavyojisikia kuwa au unapaswa au unapenda. Sidhani kama ni vyema sisi wanajamii tukuambie umuheshimu vipi hubby wako, yeye ndiye anapaswa! Malezi tuliyokuwa nayo hayalingani hata mila ni tofauti pia, na heshima si kupiga magoti tu, au kumvua viatu; tena mimi naweza ita ni mahaba kuliko heshima!
So be yourself na you have that right; ila si vyema kwa mtazamo wangu; kuiona couple ambayo haifanyi kama ufanyavyo wewe haina heshima!
mimi kuvuliwa soksi
kuogeshwa,
kuletewa maji vyote naona ni sawa tu...
mradi asiwe hapendi kabisa...
Real Love Vs Fake Love - Chat Cheaters
View attachment 52432
MJ1
Kutokana na fake world tunayoishi, imefikia hatua watu wanaogopa almost evrything, na hii hutokana tu na facts of life!!
Ila mwanajamii1, naomba nikupe pongezi kwa kufiatilia malezi na maadili yote ulitofunzwa! Honestly mimi kama nafuatilia sijui; lbd nimrchanganya na zangu so much kiasi kwamba l own 100% ya maadili ninayoyaamini niKaunga Kaunga!
I salute you gal!