Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

Nabii Titto katuletea dini inayoendana na matendo yetu

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
31,737
Reaction score
81,808
Kiukweli mimi simuungi mkono nabii Titto kwa anayoyafanya lakini pia simpingi sana. Sasa leo hii watu wengi tunapombeka na pia tutatembea na vijakazi pia na kufanya mapenzi na wanawake ambao hatujawaoa tunafanya tu sana.

Kwa hiyo nabii Tito kaona atuletee dini inayoendana na matendo yetu maana hii dini ya Uislam, Ukiristo imetushinda kufata misingi yake.

Truth will set u free.
 
Alichoharibu ni kuihusisha imani yake na dini nyingine.

Maana mtu anayezini/kunywa pombe anajua kabisa kwamba ukristo hamruhusu kufanya hivyo anakosea.hivyo hata huyu mlevi ukija kumwambia maneno yale ya tito hatokuelewa,mtagombana japo naye ni mlevi.

Nani anayemiliki DINI?
 
Mbona kichaa akiua lazima afikishwe mahakamni na mengine yatajulikana mbele ya safari ambapo atapimwa akili
 
Dini ya Tito imeanza kwa pombe Na ngono, bàadae itaenda kwenye sigara, kisha itaruhusu uchawi Na uuaji. Ukikosa sadaka unaruhusiwa kuiba ili ulete madhabahuni
lkn wafuas wake si ndo nyinyi wazee wakupombeka..wapombekaji...mnabid mumpokee nabii wenu.
 
Kamanda: Unakubali kua ni kweli umefanya makosa?

Nabii Tito: Aah mimi nilikua na...

Kamanda: Jibu swali unakubali kua umefanya makosa?

Nabii Tito: Ila mimi sijaona kosa...

Askari random: Huyu bado mbishi

Nabii Tito: Mi nimeongea yaliyomo kwenye biblia

Kamanda: Mchukueni huyo
 
Kiukweli...Mimi simuungi mkono Nabii Titto kwa anayoyafanya....lakin pia simpingi sana.

Sasa Leo hii watu wengi tunapombeka...na pia tutatembea na vijakazi...pia ...nakufanya mapenzi ..na wanawake ambao atujawaoa ...tunafanya tu sana.

Kwaiyo nabii Tito kaona ..atuletee dini inayoendana na matendo...yetu...maana hii dini ya Uislam,ukiristo imetushinda kufata misingi yake.

Truth will set u free.
Nabii Tito,hiyo nadhani ni kucheza na Mungu atavuna tu!
 
Kamanda: Unakubali kua ni kweli umefanya makosa?

Nabii Tito: Aah mimi nilikua na...

Kamanda: Jibu swali unakubali kua umefanya makosa?

Nabii Tito: Ila mimi sijaona kosa...

Askari random: Huyu bado mbishi

Nabii Tito: Mi nimeongea yaliyomo kwenye biblia

Kamanda: Mchukueni huyo
Kwa mahojiano haya ugundua Tito anajielewa na kisheria hana kosa.
 
Imani ya kikiristo ni kuamini kuhusu Yesu ni bwana na mwokoZi,je Tito alikuwa haamini?
Kuhusu Tito kuamini Yesu ni mwokozi sijui kama aliamini.

Amevuruga imani ya kikristo,sababu msingi wa ukristo unapatikana ktk biblia,hakuna ukristo nje ya biblia.kuhubiri mihemko binafsi kwa kudai ni Mungu ameagiza kupitia bible,ndio kosa la msingi la Tito.
Imani ya kikiristo ni kuamini kuhusu Yesu ni bwana na mwokoZi,je Tito alikuwa haamini?
Kuhusu Tito kuamini Yesu ni mwokozi sijui kama aliamini.

Amevuruga imani ya kikristo,sababu msingi wa ukristo unapatikana ktk biblia,hakuna ukristo nje ya biblia.kuhubiri mihemko binafsi kwa kudai ni Mungu ameagiza kupi
 
Back
Top Bottom