Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 19,743
- 43,355
Em ngoja ninyamaze nisije kuharibu kwaresma yangu 😂 Kwahy umesema mpemba alipita na marinda ya jamaa 😂Zamani alikuwa kinyozi+mbeba vyuma alianzaga kuchizika na kuwa na michezo hiyo gafla tu
Wenyewe wanakuambia alitembea na mke wa mpemba
Ova