NABII TITO: Msifanye mapenzi mtapata laana

Zamani alikuwa kinyozi+mbeba vyuma alianzaga kuchizika na kuwa na michezo hiyo gafla tu
Wenyewe wanakuambia alitembea na mke wa mpemba

Ova
Em ngoja ninyamaze nisije kuharibu kwaresma yangu 😂 Kwahy umesema mpemba alipita na marinda ya jamaa 😂
 
Alisema yeye ujanani watu walikuwa wanamsifia kuwa ni mzuri amerithi kwa mama yake. Akapata dume la kumsugua, wakawa wanabadilishana kusuguana.
 
Anasema yeye na mkewe wanatazamana tu
Je yeye hakuzaliwa?
Je hana watoto?
Ana uhakika gani mkewe hapati msukumo wa kihisia?
Je ana uhakika gani kwamba mkewe haruki ukuta?
Mkuu kuruka ukuta tena!
Angalia usije ongea mbele za watu, watakuonani mgeni unayetokea Mombasa Kenya.
Viswahili vitarafa siku hizi vina updatiwa!
Kiswahili kitarafa cha miaka ya '70, sasa hivi kikiupdatiwa kinakuwa ni msamiati unaojitegemea na wenye na maana iliyo kamilifu.
 
Back
Top Bottom