Nabii Suguye: Kuna viongozi watatu Wanamhujumu Rais Samia na kama viongozi hao wasipotubu Watakufa!

Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.
Mungu yupi aliyemtokea???

MUNGU hakumtokea Nabii Danieli, wala Eliya, wala Isaya, wala Yohana Mbatizaji hakumwona MUNGU, wala Ibrahimu mzee wa imani hakumwona MUNGU, iweje Suguye nabii fake wa uongo anayehubiri udanganyifu, na kufundisha upagani atokewe na MUNGU?

Au hamjui kuwa hata Shetani pia anaitwa mungu (2Wakorintho 4:4) na anao uwezo wa kujibadilisha na kujifanya mwana wa nuru? (2Wakorintho 11:14)
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Wewe unasali wapi?
 
Kuna siku huyo Nabii alitabiri mvua ingenyesha siku ya pili kuanzia saa moja asubuhi hadi saa sita mchana na ikanyesha kweli.
Nikashangaa waumini wake wanaona kitu cha ajabu tena wengine kama wasomi kabisa wanakubali kunyeshewa mvua eti nabii Suguye alitabiri.
Nikajiuliza pamoja na kuwa na smartphone na kuchukua video mvua ikinyesha, walishindwa vipi kusoma utabiri wa hali ya hewa kwenye smartphone zao!

Hata hii kwamba kuna watu wanamhujumu rais najua Suguye atakuwa amesoma kwenye mitandao.
 
Huu upumbavu ufike mwisho sasa!

Wanamhujumuje hao watu?

Yani yeye Samia si ana timu yake ya washauri? Wao hawaoni hizo hujuma?

Swali langu kuu, anahujumiwaje?
Yaani unajiuliza maswali mengi unakosa majibu mama ana nyenzo zote sasa wanamhujumuje mpaka yeye asijue?
 
Acha uhuni wewe mbwa!
Jina lenyewe umejiita magu ndio umpende mama kweli?lakini mkuu ushauri wangu kwako si umfuate hukohuko huyo magufuli wako msituharubie nchi sasa hivi.watu tumetulia sasa hivi
 
Mkuu wa hilo kundi ni Mwigulu Nchemba wapo Majaliwa yule mrundi VP, Ndugai, zero, Ndugulile na Tulia. Wiki ya nne sasa hakuna Waziri wa Ulinzi kwa sababu kundi hilo linadai nafasi hiyo ni nyeti hivyo ni lazima awe mtu wanayemkubali wao.,
Hivi wanapata wapi muda wa kuingia tu muda wote kwa rais na kumwambia hayo rais sio balozi wa nyumba kumi unayeweza kumuona muda wote hata makamu wa rais kumuona rais ni kwa appointment mkuu.
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
mungu kamtokea?
 
I see............. najaribu kuunganisha kiunganisho cha utabiri na waumini waliotajwa kuwa wanaabudu katika Kanisa la Nabii huyo.
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
Kufa kila mtu atakufa hilo jambo halihitaji utabiri lipo tu
 
Hivi Hawa manabii mbona wanatabiri kwanini nchi yetu maskini na waongee na Mungu jinsi gani tutoke huko na tuwe kinara duniani?
 
Jina lenyewe umejiita magu ndio umpende mama kweli?lakini mkuu ushauri wangu kwako si umfuate hukohuko huyo magufuli wako msituharubie nchi sasa hivi.watu tumetulia sasa hivi
Wewe ni utopolo tu. Kuhusu Mama tunaendelea naye vizuri tu mlifikiri atakuwa upande wenu wanautopolo lakini sasa hivi Faru John a.k.a Gaidi yuko ananyea debe tu. Sisi tunachapakazi na mama yetu mpendwa! Mtasubiri sana!
 
Mganga njaa mwingine katika ubora wake!
Kwani kufa ni ajabu!??kila mtu atakufa,haihitaji kumuhujumu Raisi Ili ufe!!!
Kufa ni lazima hata yeye "nabii"atakufa.
Stupidity of highest order
Ukisikia manabii wa uwongo , ndo Hawa ! Wote watakufa akiwemo huyo nabii wa uwongo , anaehujumiwa na wengine wote ! Kama kweli umeoneshwa hao wahujumu , kwanini umeshindwa kuwataja ?! Uoneshwe alafu unakuwa mnafiki kuwaficha ?!
 
Nabii Suguye wa kanisa la WRM amesema Mungu amemtokea na kumuonesha viongozi wakubwa watatu wanaomuhujumu Rais wetu mama Samia.

Nabii Suguye amewataka viongozi hao waachame na mipango yao miovu mara moja vinginevyo watakufa.

Kanisa la WRM ndiko wanakosali wabunge wa Chadema Halima Mdee na Esther Bulaya pamoja na msanii Nandy.

Source: WRM tv
wataje sasa tuwajue unaogopa nini ndugu mchungaji aka nabii ? Unakosa uthubutu kama wa Yohana mbatizaji wakati na wewe unajiita Nabii ?

Soma Mathayo 14 ; 3 -5

3 Herode alikuwa amemkamata Yohana akamfunga na kumweka gere zani kwa sababu ya Herodia, mke wa Filipo, kaka yake. 4 Kisa che nyewe ni kwamba Yohana alikuwa amemwambia Herode kuwa, “Si halali kwako kumwoa huyo mwanamke.” 5 Herode alitaka sana kumwua Yohana lakini akaogopa watu kwa maana walimtambua kuwa ni nabii.
 
Back
Top Bottom