Nabii Mwingira ni Ishara ya kukubalika kwa Rais Samia

Kwa hiyo alitangazwa amepata kura ngapi? acha upuuzi mkuu badilika
Kwani hukumuona wakati anapiga kampeni? Kura zake ziko humohumo. Unadhani wazanzibar na wanawake wengi walipiga kura kwasababu gani?
 
Madai ya Askofu Jesephat Mwingira wa kanisa la EFATHA aliyoyatoa kwenye sherehe za Christmas aliyatoa sasa baada ya kuwa na Imani na serikali ya mama Samia. Aliona utu, uchaMungu wa dhati na utukufu ndani ya Rais Samia hivyo kuuona wakati wa kuyabwaga yote wakati huu ya moyoni mwake aliyofanyiwa kwenye awamu zilizopita. Hii ni sawa na watoto wanaoshitaki kwa mama yoote waliyofanyiwa na house girl wao wakati mama hayuko nyumbani.

Ni malalamiko ya hope kwa serikali yao ya awamu ya sita. Hii ni kusema kuwa Mama ana kazi kubwa sana ya kuliunganisha taifa kuliko anavyofikiria. Mwingira sio mjinga kwa kiasi hiki anachofikiria Mh. Simbachewene. Mimi ninaiona dhamira safi ndani ya Nabii Mwingira, na wako wengi wenye shida kama ya Mwingira. Asichukuliwe poa au kukegeliwa.

Angekuwa mimi ndiye Rais Samia ningeanzia kwa Nabii Mwingira kuelekea kuwatambua wengine wenye malalamiko genuine kama haya. Wasitishwe bali wapewe moyo wayafichue yote.
Mwingira ni mzandiki na mzushi. Matrkta na mashamba yalichomwa mwaka 2012. Walichomwa na wananchi baada ya kunyimwa haki zao. No research utadanganywa tu. Kamdanganya mpaka Samia
 
Mwingira ni mzandiki na mzushi. Matrkta na mashamba yalichomwa mwaka 2012. Walichomwa na wananchi baada ya kunyimwa haki zao. No research utadanganywa tu. Kamdanganya mpaka Samia
Kwa uzandiki hamfikii spika, hivi ni kweli nchi itapingwa mnada? hivi atakubali wabunge wapate nusu mshahara ili tupate hela ya kujenga reli? Hivi wakati marais wengine waliopita wakikopa yeye aliwahi kuwaonya kuhusu nchi kupigwa mnada? Kunya anye kuku akinya Bata kaharisha?

Wallah Namuomba mama angeniteua mimi niwe japo mfanya usafi tu kwenye ofisi ya mwenyekiti wa tume ya uchaguzj.

Wanataka Samia afanye yale ya magufuli magufuli magufuli tyuuuu hadi 2025 ili wawe na cha kusema. Mama sio mjinga, anachanganya na zake pia. Anafahamu lipi la jpm lilikuwa zuri na lipi lilikuwa baya, lipi lina harufu ya udini,lipi Lina harufu ya ukabila na ukanda, lipi kapotoshwa na lipi kakose ayeye mwenyewe.
 
Back
Top Bottom