Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.

FaizaFoxy Mbona Maandiko Yametimia!? Manabii Wa Uongo Mliotabiriwa Katika Biblia Ni Wewe Lizaboni Na VUTA-NKUVUTE Mzee Tupa Tupa Wa Lumuma Wote Toka Ccm, Hata Mithali 3:28 Inasema, Watakuja Kwa Njia Msizozidhania, Na Joka Kubwa Lililosumbua Miaka 54 Likibadilishwa Jina Kwenye Mwaka Wenye 77 Litauwawa Rasmi Siku Ya Jpili 25 Oct, Ila Bible Haikutaja Mwaka.
 
Last edited by a moderator:
Na mimi natabari, Lowassa atashinda kwa zaidi ya asilimia hamsini mpinzani wake wa karibu atapata less than 35 percent. Lowassa atatawala miaka kumi. RIP CCM

Atatawala huku akiwa ICU ,safi sana hii
 
Zikiwa zimebaki siku 17 mwanga na nuru ushaanza kuangaza. Nabii M. Thomas kutoka nchini Kenya kaonyeshwa maono ya kwamba Lowassa atashinda katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015....... (K24, 5.9.2015).

Nabii Thomas anakumbukwa sana kwa unabii wake kuhusu Uhuru Kenyata. Mnamo siku ya jumamosi tarehe 23.February. 2013 alisema kwamba Bwana kanena naye ya kwamba Uhuru Kenyata ni chaguo lake (Bwana) na atakuwa Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Kenya.

Kwa mara nyingine nabii huyo kasema kuna ishara nyingi ambazo kaonyeshwa za Lowassa kushinda katika uchaguzi huu na kwamba Lowassa atakuwa rais wa awamu ya 5 ya JMT.

Wimbi la manabii kuonyeshwa maono juu ya Edward Lowassa unazidi kushamiri. Ambapo mwaka juzi Nabii TB Joshua alionyeshwa maono. Na mwaka jana Nabii Mabumba wa Tanzania naye alitoa unabii wa Lowassa kuwa rais.

Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.

Hapo CCM inajinyea ikitafuta namna ya kuiba masanduku ya kura.
 
FaizaFoxy Mbona Maandiko Yametimia!? Manabii Wa Uongo Mliotabiriwa Katika Biblia Ni Wewe Lizaboni Na VUTA-NKUVUTE Mzee Tupa Tupa Wa Lumuma Wote Toka Ccm, Hata Mithali 3:28 Inasema, Watakuja Kwa Njia Msizozidhania, Na Joka Kubwa Lililosumbua Miaka 54 Likibadilishwa Jina Kwenye Mwaka Wenye 77 Litauwawa Rasmi Siku Ya Jpili 25 Oct, Ila Bible Haikutaja Mwaka.

Unajitekenya na kujichekesha mwenyewe?

Vipi, nani aliyefufuliwa na Mwingira?
 
CCM is kwishine!

Waanze kuhamisha file ikulu ila namwomba LOWASSA asimtoe katibu mkuu kiongozi na wandamizi wote kwa kuwa hao si wanasiasa badala yake afahamu kuwa ni watalaam
 
Zikiwa zimebaki siku 17 mwanga na nuru ushaanza kuangaza. Nabii M. Thomas kutoka nchini Kenya kaonyeshwa maono ya kwamba Lowassa atashinda katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015....... (K24, 5.9.2015).

Nabii Thomas anakumbukwa sana kwa unabii wake kuhusu Uhuru Kenyata. Mnamo siku ya jumamosi tarehe 23.February. 2013 alisema kwamba Bwana kanena naye ya kwamba Uhuru Kenyata ni chaguo lake (Bwana) na atakuwa Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Kenya.

Kwa mara nyingine nabii huyo kasema kuna ishara nyingi ambazo kaonyeshwa za Lowassa kushinda katika uchaguzi huu na kwamba Lowassa atakuwa rais wa awamu ya 5 ya JMT.

Wimbi la manabii kuonyeshwa maono juu ya Edward Lowassa unazidi kushamiri. Ambapo mwaka juzi Nabii TB Joshua alionyeshwa maono. Na mwaka jana Nabii Mabumba wa Tanzania naye alitoa unabii wa Lowassa kuwa rais.

Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.

Tutafurahi kwa pamoja
 
hawa manabii wanaboa sana

wanaoamua ni sisi wapiga kura sio wao wapiga ramli

Kambi ya UKKAWA, muache hizi cheap tokens mnatuvunja moyo sisi supporters wenu... komaeni na what we can do to finish campaigns better

Inakera mtu kama Ocampo four naye anakua mpiga ramli kwa kupitia hawa manabii feki

Mind ur language! especially juu ya watu wa Mungu! wanaomhubiri Mungu ! umethibitisha nini ukaita nabii feki?
 
Last edited by a moderator:
Chaguo la shetani ni Lowasa bali chaguo la Mungu NI Magufuli ila kwa walevi na vichaa nasubiri matusi yenu maana hata akili za kupambunua cha Mungu na shetani mmeshindwa.

Hata mimi nimeoteshwa Lowasa atashinda Kata ya Monduli na siyo Tanzania.

Wise fool!
 
FaizaFoxy Mbona Maandiko Yametimia!? Manabii Wa Uongo Mliotabiriwa Katika Biblia Ni Wewe Lizaboni Na VUTA-NKUVUTE Mzee Tupa Tupa Wa Lumuma Wote Toka Ccm, Hata Mithali 3:28 Inasema, Watakuja Kwa Njia Msizozidhania, Na Joka Kubwa Lililosumbua Miaka 54 Likibadilishwa Jina Kwenye Mwaka Wenye 77 Litauwawa Rasmi Siku Ya Jpili 25 Oct, Ila Bible Haikutaja Mwaka.

Add jingalao na KUBWA JINGA
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom