Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ocampo four, Oct 6, 2015.

 1. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #1
  Oct 6, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zikiwa zimebaki siku 17 mwanga na nuru ushaanza kuangaza. Nabii M. Thomas kutoka nchini Kenya kaonyeshwa maono ya kwamba Lowassa atashinda katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015....... (K24, 5.9.2015).

  Nabii Thomas anakumbukwa sana kwa unabii wake kuhusu Uhuru Kenyata. Mnamo siku ya jumamosi tarehe 23.February. 2013 alisema kwamba Bwana kanena naye ya kwamba Uhuru Kenyata ni chaguo lake (Bwana) na atakuwa Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Kenya.

  Kwa mara nyingine nabii huyo kasema kuna ishara nyingi ambazo kaonyeshwa za Lowassa kushinda katika uchaguzi huu na kwamba Lowassa atakuwa rais wa awamu ya 5 ya JMT.

  Wimbi la manabii kuonyeshwa maono juu ya Edward Lowassa unazidi kushamiri. Ambapo mwaka juzi Nabii TB Joshua alionyeshwa maono. Na mwaka jana Nabii Mabumba wa Tanzania naye alitoa unabii wa Lowassa kuwa rais.

  Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.
   
 2. Natiogeo

  Natiogeo Senior Member

  #2
  Oct 6, 2015
  Joined: Apr 17, 2015
  Messages: 188
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Uchaguzi huu hauitaji nabii yeyote kuzungumza chochote.....

  Kama imeshakuwa imeshakuwa tu, haitaji nabii hapa...kwasababu hawa manabii wanaweza kusababisha watu kugawanyika ki-imani hivyo kukaleta taifa kugawanyika...

  Manabii, watulie na utabiri wao...wachungaji/ maaskofu/ mashehe na viongozi wa dini, waendelee kuhamasisha amani na utulivu kwa waumini wao, bila kutumbukiza hisia zao kwenye haya mambo ya kisiasa.. Ili kuliwezesha taifa kuvuka hapa salama.

  Ni kweli tunawaitaji, lakini pia hatuitaji watu wagawanyike kwa misingi ya kidini....itakayotokana na matamko yao..haijalishi inaendana vipi na kile ninachotaka kukisikia au mwingine anachotaka kusikia..

  Matamko ya viongozi wa kidini yamekuwa yakichukuliwa vibaya sana na wanasiasa na hivyo kuhatarisha umoja wa kitaifa...

  Wewe mbali na kutoa matamko....
   
 3. G

  Gochavez Senior Member

  #3
  Oct 6, 2015
  Joined: Apr 30, 2013
  Messages: 113
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Lowasa ni rais hata ccm wanajua kabisa sema wanajifanya wakaidi tu.Time will tell kwa kweli
   
 4. N

  NapigaNgumi JF-Expert Member

  #4
  Oct 6, 2015
  Joined: May 30, 2015
  Messages: 533
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 45
  na iwe hivyo
   
 5. Janjaweed

  Janjaweed JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2015
  Joined: Jan 20, 2010
  Messages: 9,574
  Likes Received: 939
  Trophy Points: 280

  hawa manabii wanaboa sana

  wanaoamua ni sisi wapiga kura sio wao wapiga ramli

  Kambi ya UKKAWA, muache hizi cheap tokens mnatuvunja moyo sisi supporters wenu... komaeni na what we can do to finish campaigns better

  Inakera mtu kama Ocampo four naye anakua mpiga ramli kwa kupitia hawa manabii feki
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 6. M

  Mssassou JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2015
  Joined: Jun 17, 2015
  Messages: 1,540
  Likes Received: 237
  Trophy Points: 160
  Lowassa mpango mzima
   
 7. M

  Mtagingwembe JF-Expert Member

  #7
  Oct 6, 2015
  Joined: Nov 7, 2012
  Messages: 377
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Mungu kamwe huwa hashindwi katika maamuzi yake. Magufuli angekuwa ni mimi ningenyosha mikono na kusema Lowasa shika wewe usukani.
   
 8. g

  gumegume JF-Expert Member

  #8
  Oct 6, 2015
  Joined: Jun 29, 2011
  Messages: 1,061
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Hatuna haja ya kuweka nguvu zetu kwenye unabii! Tujitokeze kwa wingi tu kupiga kura na kuzilinda!
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Oct 6, 2015
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,178
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Na mabalaa wanayoyapata watesi wake kutokana na kukuuru Mungu dhahiri shahiri ni ishara ya kukubalika. Ngoja tusubiri 25.10 watu wafanye maamuzi.
   
 10. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #10
  Oct 6, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Ungejua nini maana ya unabii wala usingetokwa povu kiasi hiki....

  Kwenye finishing umeongea point mkuu... Naunga mkono hilo...
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 11. Wise T

  Wise T Senior Member

  #11
  Oct 6, 2015
  Joined: Oct 24, 2011
  Messages: 107
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Hata wasingetabiri ndo hivyo
   
 12. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #12
  Oct 6, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Mkuu wakati mwingine ni vyema kusikiliza ujumbe unaotoka kwa watumishi wa Mungu....
   
 13. a

  aiai654 JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2015
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 3,861
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Lowassa mpango wa Mungu
   
 14. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #14
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,274
  Likes Received: 16,359
  Trophy Points: 280
  Badilisha kwanza ID, hamna mwenye akili anayekuamini wewe kuhusu Lowassa.
   
 15. kisiki kizito

  kisiki kizito JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 3, 2015
  Messages: 595
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 180
  Manabiii ni watu wanaomwakilisha mungu duniani soma biblia na quruani utaelewa so tusipuuze kabsa
   
 16. B

  BADO MMOJA JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 1,786
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Chaguo la shetani ni Lowasa bali chaguo la Mungu NI Magufuli ila kwa walevi na vichaa nasubiri matusi yenu maana hata akili za kupambunua cha Mungu na shetani mmeshindwa.

  Hata mimi nimeoteshwa Lowasa atashinda Kata ya Monduli na siyo Tanzania.
   
 17. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,274
  Likes Received: 16,359
  Trophy Points: 280
  Ungejua kuhusu manabii feki usingeweka huu upuuzi. Wanapiga hela kwa yule wanayeona ni zoba. Lowassa kageuka mtaji.
   
 18. kisiki kizito

  kisiki kizito JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 3, 2015
  Messages: 595
  Likes Received: 730
  Trophy Points: 180
  Kuna nabii mmoja wa Arusha aliwahi tabiri kifo cha moses kulola na kuanguka kwa ndege ya Ethiopian airlines na ikatokea kweli na pia ameshao eshwa kuwa raisi ajaye ni Edo
   
 19. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #19
  Oct 6, 2015
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 24,274
  Likes Received: 16,359
  Trophy Points: 280
  Lowassa hawezi shinda.
   
 20. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #20
  Oct 6, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Tulia wewe gamba...
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...