Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania | Page 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ocampo four, Oct 6, 2015.

 1. Ocampo four

  Ocampo four JF Senior Expert Member

  #1
  Oct 6, 2015
  Joined: Feb 28, 2014
  Messages: 5,791
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Zikiwa zimebaki siku 17 mwanga na nuru ushaanza kuangaza. Nabii M. Thomas kutoka nchini Kenya kaonyeshwa maono ya kwamba Lowassa atashinda katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015....... (K24, 5.9.2015).

  Nabii Thomas anakumbukwa sana kwa unabii wake kuhusu Uhuru Kenyata. Mnamo siku ya jumamosi tarehe 23.February. 2013 alisema kwamba Bwana kanena naye ya kwamba Uhuru Kenyata ni chaguo lake (Bwana) na atakuwa Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Kenya.

  Kwa mara nyingine nabii huyo kasema kuna ishara nyingi ambazo kaonyeshwa za Lowassa kushinda katika uchaguzi huu na kwamba Lowassa atakuwa rais wa awamu ya 5 ya JMT.

  Wimbi la manabii kuonyeshwa maono juu ya Edward Lowassa unazidi kushamiri. Ambapo mwaka juzi Nabii TB Joshua alionyeshwa maono. Na mwaka jana Nabii Mabumba wa Tanzania naye alitoa unabii wa Lowassa kuwa rais.

  Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.
   
 2. B

  BADO MMOJA JF-Expert Member

  #101
  Oct 7, 2015
  Joined: Jul 19, 2012
  Messages: 1,778
  Likes Received: 652
  Trophy Points: 280
  i expected
   
 3. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #102
  Oct 7, 2015
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 145
  Tunasubiri ule utabiri wa Yahya. Jamaa tii chini, jukwaani. Sijui atakuwa nani, ila suruali yake chapachapa
   
 4. B

  Blac kid JF-Expert Member

  #103
  Oct 7, 2015
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 3,466
  Likes Received: 272
  Trophy Points: 180
  Huyu nabii anaheshimika sana hapa ukanda wa afrika mashariki na kati, tabiri zake hakoseagi, Lowasa anakubalika mbinguni na duniani hakika huyu ndiye rais wetu.
   
 5. m

  musami JF-Expert Member

  #104
  Oct 7, 2015
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  Mwaka huu ndio tutawagundua manabii uchwara
   
 6. Kazwala mkuu

  Kazwala mkuu JF-Expert Member

  #105
  Apr 29, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 1,014
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
  Ewe nabii jisafishe sasa!!!
   
 7. Kazwala mkuu

  Kazwala mkuu JF-Expert Member

  #106
  Apr 30, 2017
  Joined: Jul 2, 2016
  Messages: 1,014
  Likes Received: 1,331
  Trophy Points: 280
   
 8. TUJITEGEMEE

  TUJITEGEMEE JF-Expert Member

  #107
  May 2, 2017
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 11,416
  Likes Received: 3,183
  Trophy Points: 280
  Atakuwa amebadili dini na eneo la kazi yake hiyo ya unabii!
   
Loading...