Nabii M. Thomas: Lowassa atashinda uchaguzi mkuu wa Oktoba, Tanzania

Chaguo la shetani ni Lowasa bali chaguo la Mungu NI Magufuli ila kwa walevi na vichaa nasubiri matusi yenu maana hata akili za kupambunua cha Mungu na shetani mmeshindwa.

Hata mimi nimeoteshwa Lowasa atashinda Kata ya Monduli na siyo Tanzania.

Magufuli hata mke wake hamuungi mkono...nakushangaa wewe!
Zinduka...mtu aliyeshindwa kuiongoza familia yake vyema ataweza watu 50M?
 
Manabii wa kweli wangetabiri miaka15 iliyopita kabla EL ajaanza harakati zake ovu na ya za kishetani za kuutaka uraisi kwa udi na uvumba hapo ningewaamini.
 
Amini nawambia!!! Tutengenezeni njia ya Bwana na Tuyanyoosheni mapito yake. Hakika wokovu wake u karibu na wamchao( wamwaminio ), utukufu ukae katika nchi yetu ya Tanzania. Kila bonde litajazwa, milima itashushwa, palipopotoka patakuwa pamenyoshwa. Hii ni sauti ya mtu aliye nyikani. Baadae tusije tuka shikana mashati.
 
Amini nawambia!!! Tutengenezeni njia ya Bwana na Tuyanyoosheni mapito yake. Hakika wokovu wake u karibu na wamchao( wamwaminio ), utukufu ukae katika nchi yetu ya Tanzania. Kila bonde litajazwa, milima itashushwa, palipopotoka patakuwa pamenyoshwa. Hii ni sauti ya mtu aliye nyikani. Baadae tusije tuka shikana mashati.

11 Na manabii wengi wa uongo watatokea, na kudanganya wengi.
 
Zikiwa zimebaki siku 17 mwanga na nuru ushaanza kuangaza. Nabii M. Thomas kutoka nchini Kenya kaonyeshwa maono ya kwamba Lowassa atashinda katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika tarehe 25.10.2015....... (K24, 5.9.2015).

Nabii Thomas anakumbukwa sana kwa unabii wake kuhusu Uhuru Kenyata. Mnamo siku ya jumamosi tarehe 23.February. 2013 alisema kwamba Bwana kanena naye ya kwamba Uhuru Kenyata ni chaguo lake (Bwana) na atakuwa Rais wa awamu ya nne ya Jamhuri ya Kenya.

Kwa mara nyingine nabii huyo kasema kuna ishara nyingi ambazo kaonyeshwa za Lowassa kushinda katika uchaguzi huu na kwamba Lowassa atakuwa rais wa awamu ya 5 ya JMT.

Wimbi la manabii kuonyeshwa maono juu ya Edward Lowassa unazidi kushamiri. Ambapo mwaka juzi Nabii TB Joshua alionyeshwa maono. Na mwaka jana Nabii Mabumba wa Tanzania naye alitoa unabii wa Lowassa kuwa rais.

Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.
KWANINI TB JOSHUA ALIKATAA KUONGEA NA LOWASSA?

Picha za hapa chini ni TB Joshua alipo ongea kwa faragha na Mh. Magufuli na familia yake.
Rumafrica-Online-Magzine-Front-TB-Joshua-Magufuli.jpg


3.png



Ata Mh. Mwigulu Nchemba alipewa Microphone ya TB Joshua na kuongea na SCOAN
2.png



Lowassa yeye alikalishwa tu kama watu wengine. Swali, ni kwanini TB Joshua alikataa kusema lolote kuhusu Lowassa?
1.png


KWANINI TB JOSHUA ALIKATAA KUONGEA NA LOWASSA?
 
kilevi cha ushabiki ni kibaya sn! sijui kama mnafikiri kwa umakini sana sn mnapost comment zenu! mungu anashuhudia kila kitu na mungu anawapenda sn watu wake, lkn km mtashindwa kubadirika ipo siku ataitwa nuhu wa pili, kwasababu hamsikii. hamheshimu tena watumishi wa mungu mnatukana tu! sijui mnataka mkienda makanisani mmuone mungu anahubiri ndo muanmini. waheshimuni watumishi wa mungu
 
Kwani anafanya nini? sielewi, kwa hiyo siwezi ku judge mtu kwa jina lake tu.

Nimestuka kwa usingizi humjui aliyetabiri kuwa kabla ya uchaguzi atakufa mwanasiasa maarufu na rais ajaye ni mchanganyiko mama kristu baba islam(january makamba).humjui?
 
Mytake: Chaguo la wengi, ni chaguo la Mungu, Uungwaji mkono anaopata Lowassa ni ishara tosha kuwa ni chaguo la Mungu.[/QUOTE]



Mkuu Ocampo Huwa Sitilii Shaka Andiko Lako Humu Jamvini, Umezidi Kunikumbusha Ule Msemo Wa Pasco "vox Populi" Is "vox Dei" Chaguo La Mungu Ni Chaguo La Wengi, Mshauri Bibi, Babu, Mama, Baba Kijijini, Oct 25, Kula Kwa Lowassa Tuutimize Unabii
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom