Nabii Flora wa Mbezi DSM ameumbuka Uchaguzi Arumeru!

....eeeehhh....!!!! mbona kajikoroga namna hiyo mpaka anatisha....!
 
Ninyi "mlioponywa" kwa "Nabii" Flora, mbona mmejikausha? Mbona hamji kumtetea nabii wenu? Au shuhuda zenu, ni fix?
 
Hayo mambo yanachanganya saaaanaaa! Inabidi kusali na kuomba saaaana Roho Mtakatifu atuongoze na atufunulie kuhusu hawa manabii! Kwani kuelewa yupi ni wa ukweli imekuwa ni tatizo kubwa mno! Wamekuwa wengi mnooo..... Ee Mungu tupe mwanga wa kuwagundua hawa manabii, kwani wenyewe kwa wenyewe wanakandiana. Je, sisi kondoo tufanyeje?
 
ninyi "mlioponywa" kwa "nabii" flora, mbona mmejikausha? Mbona hamji kumtetea nabii wenu? Au shuhuda zenu, ni fix?
hakuna aliyepona ni sawa na loliondoo, maafa yanakuja mengi!!! Watu wanapakwa mafuta kama anavyojipata nabii mke
 
Acha maneno ya kutunga kuhusu Kakobe. Hakuwahi kusema lolote kuhusu NCCR, mwaka 1995. Ni mwaka 2000, ndipo alipompigia kampeni Mrema, wakati yuko TLP. Hata hapo, hakutoa UNABII wowote kuhusu Mrema. Kuna tofauti kubwa kati ya kutoa unabii, na kupiga kampeni. Kakobe hajawahi kujiita Nabii, wakati wowote ule!

Kampeni za Kakobe, mwaka 2000, alipokiponda chama cha magamba, kwa kusema alikuwa na sababu 1000 za kukichukia, ndizo zilikuwa moja ya vyanzo vya mwamko wa upinzani nchini. Na mwaka 2010, elimu yake ya uraia iliyokwenda shule, aliyoitoa katika TV, ilisaidia sana kuzima kampeni chafu za magamba, dhidi ya CDM. Hivyo, acha kuleta michanganyo hapa. Mada iliyoletwa hapa, ni juu ya NABII FLORA, na unabii wake, kuhusu Arumeru.

Kha! kwani huyo Kakobe anatofauti gani na huyo Flora? mi naona wote ni wanja tu. wewe kama Flora kakukosa basi inaonekana umenaswa na Tapeli Kakobe, Makanisa sikuhizi ni sehemu ya burudani na kukamuana tu! .
 
Hivi mbona hawa manabii asilimia kubwa wapo jijini Dar? kwingineko vp? hakuna watu wanaowahitaji?:A S-confused1::A S-confused1:
 
Kha! kwani huyo Kakobe anatofauti gani na huyo Flora? mi naona wote ni wanja tu. wewe kama Flora kakukosa basi inaonekana umenaswa na Tapeli Kakobe, Makanisa sikuhizi ni sehemu ya burudani na kukamuana tu! .

Tapeli ni wewe mwenyewe! Koma! Shika adabu yako mkononi mwako! Kama Mchungaji wako anakukamua, ni wewe na Mchungaji wako! Kakobe amekukamua hela ngapi? Sema! Narudia tena, KOMA! Tuachie Kakobe wetu wa thamani kubwa, na wewe rudi kuzimu ulikotoka!
 
[h=2]Wiki mbili kabla ya kufanyika kwa uchaguzi wa jimbo la Arumeru Mashariki Nabii Mke aitwaye Flora peter wa Kituo cha maombezi Mbezi Beach mtaa wa Maguruwe aliibuka na kutoa utabiri wa ndoto kuwa ameoteshwa na miungu yake kuwa Mgombea wa CCM Bw SION SUMARI mkwe wa Edward Lowasa ataibuka mshindi katika kinyang’anyiro hicho. Utabiri huu uliandikwa kwa uzito mkubwa kwenye gazeti la Uhuru katika ukurasa wa Mbele huku tahiri ya gazeti la Jambo leo ikishabikia unabii huo.[/h] [h=2]Katika gazeti la Uhuru linalo milikiwa na CCM la siku ya jumatatu Machi 26,2012 toleo namba 21148 ,lilikuwa na kichwa cha habari ,..SIONI aahadi neema,. Nabii aoteshwa Ushindi wake.[/h] [h=2]Mwaandishi alikuwa ananukuu kauli ya nabii Flora peter iliyotolewa siku ya jumapili machi 25,2012 kanisani kwake kama ifuatavyo; ‘Sijui Sioni ni nani ila wakati naombea uchaguzi wa Arumeru nilionyeshwa watu wawili, mmoja Sioni na Joshua waliokuwa wakuchuana vikali, Sioni aliokota karatasi huku mwenge ukiwa umeinuliwa juu na watu wakaanza kushangilia’, Huyu Sioi sijui ni wa chama gain na ni motto wa nani ila ataibuka mshindi kutokana na ndoto niliyo oteshwa.’ ‘Najua kuna baadhi ya watu watashangaa Nabii kuzungumzia masuala ya siasa lakini mimi ni kiongozi anayehudumia wananchi,hivyo kama kuna jambo nimeoteshwa na lina maslahi kwa Taifa sina budi kuliweka wazi kama hili”[/h] [h=2][/h] [h=2]Hata hivyo uta biri huo umeonyesha kuwa wa uongo na upotoshaji baada ya Joshua Nassari wa Chama cha Demoksrasia na maendeleo (CHADEMA) kuibuka mshindi kwa kupata kula 32,972 huku akimtupa kwa mbali mkwe wa Lowassa , ambaye aliambulia kura 26,577.[/h]
 
Eti nabii.....tehe tehe tehe!!
Sasa mbona na Yesu ni NABII ?! Ina maana wako level moja na BWANA ?
'' Hata alipoingia Yerusalemu (Yesu) mji wote ukataharuki, watu wakisema: Ni nani huyo ?! Makutano wakajibu: Huyo ni NABII YESU WA NAZARETH YA GALILAYA'' Mathayo:21:10-11.
''Basi wakamuuliza yule kipofu mara ya pili, wewe wasemaje habari zake kwa vile alivyokufumbua macho ? Akasema: NABII ! Yohana:9:17.
 
Wakristo ni watu cheap sana kuwanyonya..

Mwenyezi Mungu awaongozi katika njia iliyoonyooka.. (ISLAM)

Maana kila kitu kiko wazi kwamba hakuna dini hapo lakini watu bado hawaoni (shame)???
 
Hebu elezea ni namna gani wapuuzi kama wewe mnaodai kuwa "mnanyonywa" na Wakristo na "mfumo kristo" na kulialia kila kukicha, ni "expensive"? Pumbaaf mkubwa! Halafu hapo ulipo umechimbia Ulaya au Marekani, na siyo uarabuni, huku ukishinikiza kwa nguvu zako zote taahira uliyemzaa na mke wako Mmanga aende darasani kujifunza Kiingereza kama lugha yake kwanza (na siyo Kiarabu, lugha ambayo mwenyewe huijui, achilia mbali Mmanga uliyezaa naye). Kudaadeki!
 
Back
Top Bottom