Nabii Flora wa Mbezi Beach

Status
Not open for further replies.
Mimi ni Mkatoliki die hard. Huyu nabii alimpagawisha wife wangu na kutaka kulazimisha tuhamie kwake. Niligoma na amani nyumbani ilitoweka!.Nilipomuona kwenye TV, ni full mkorogo, katinda nyusi full mawanja ya kupitiliza na nywele za marehemu au artificial, nikachoka, nikamsomesha wife hivi kwa naked ayes only jinsi nabii anavyoonekana, unapata picha ya wazi anamtumikia nani!. Thanks to God, somo limeeleweka wife amerejea Katoliki na amani imerejea!.Bwana wetu Yesu Kristu, alisema "sio wote wanaita Bwana Bwana ni wangu!, watakuja watu watatoa mapepo kwa jina langu, lakini sio wangu"!.Wakamuuliza jee tutawatambuaje?.Yesu akajibu " Mtawatambua kwa matendo yao"!.Wito kwa wana jf wenzangu, imani zenu zisitetereshwa kwa miujiza ya manabii hawa, fuatilia matendo yao utawatambua!. Nadhani mwisho wa dunia umekaribia. Manabii wanazaliwa kama uyoga.
Kumbe mpaka humu watu wanaCOPY na kuPASTE!!!
 
hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.

Dada'angu King'asti ukiteuliwa kuwa nabii msaidizi tafadhali na mimi naomba ulaji japo hata kwa kubeba kapu la sadaka na mikufu ya dhahabu toka kwa waumini vipofu (naamini hawa waumini wote ni vipofu kuamini huyu mtu ni nabii wa mkorogo) nijichotee vyangu mapema. Pia mwambie nabii mkorogo akienda Nigeria hivi karibuni asinisahau kama anavyotusahau Zungu Mama Rwakatare na wazungu wengine wa kiroho miyeyusho.
 
Last edited by a moderator:
Dah kunA nabii mmoja miaka hiyo aliitwa ester pale mikocheni.alikula pesa nyingi sana kwa mamaangu miaka ile ya 90.namm nilihudhuria sana pale kwake kwani mama alitishia nisipoenda nae halipi adA chuoni.
V
Cha ajabu mama hakupona na alifariki na ugonjwa uleule ambao Esther alidai kumtibia miaka na miaka.
Sijui bado yupo huyu mama natamani nikamdai.
 
Hivi kwann kusiwe na somo la biashara ya dini"Religious Busness"........Maana hii ni biashara kama bishara zingine na unatakiwa kuwa makini sana kwani unaweza filisika....Nafikiria kuanza kufanya hii biashara...
 
Waamuzi4:4- Basi Debora, nabii mke, mkewe Lapidothi, ndiye aliyekuwa mwamuzi wa Israeli wakati ule. 5-Naye alikaa chini ya mtende wa Debora, kati ya Rama na Betheli, katika nchi ya vilima vilima ya Efraimu; wana wa Israeli wakakwea kwake, awaamue.

Kutoka15:20- Na Miriamu, nabii mke, ndugu yake Haruni, akatwaa tari mkononi mwake; wanawake wakatoka wote wakaenda nyuma yake, wenye matari na kucheza.

2Wafalme22:14- Basi Hilkia kuhani, na Ahikamu, na Akbori, na Shafani, na Asaya, wakamwendea Hulda, nabii mke, mkewe Shalumu, mwana wa Tikva, mwana wa Harhasi, mtunza mavazi ya mfalme; (naye alikaa Yerusalemu katika mtaa wa pili;) wakasema naye.

Luka2:36-Palikuwa na nabii mke, jina lake Ana, binti Fanueli, wa kabila ya Asheri, na umri wake ulikuwa miaka mingi, alikuwa amekaa na mume miaka saba baada ya uanawali wake.

Ukitaka na wengine zaidi mkuu nitakutumia

Yehoshua Hamochiah
 
Mkorogo km mkongo...anatofauti gani na wacheza shoo wa fm academia au akudo...mimI ni mkristu lkn sidanganyiki na makanisa yanayoibuka km uyoga...ht km nna shida ntapiga goti kwa Mungu wangu...ntafunga na kusali..na hakika Mungu yu mwema hujibu maombi yangu..lkn si kwenda kuhangaika huku na huku eti kuombewa
 
Nimepitia suggestions zote na mambo yote yaliyoandikwa na wadau humu kuhusu nabii huyu......ila nimegundua jambo moja kwamba karibia wote waliochangia hawajawai kwenda na kushuhudia live yale anayotabiri,kutenda na wakati mwingine kuponya according to wagonjwa wenyewe wanaoshuhudia! sasa mambo yapo ivi,miaka kama miwili nyuma mimi nikiwa mahala fulani niliwasikia akina dada wawili wakimsimulia dada huyu kwa kusema hawaji kumwamini mchungaji yoyote zaidi yake kwani matendo aliyowatabilia ndo yaliyowatokea ivyo kwao yeye ni kila kitu....basa kuwa tulikuwa tumekaa pamoja nikawa so interested to know what next!wakasama siku walipoenda waliomba wapate waume wa kuwaoa!mmoja akasema ambarikie muwe wa kizungu nawingine mwenye uwezo angalau atokane na uuzaji wa bar ambao kwake yeye alikuwa haupendi eti ikawatokea vile na ni kweli mpaka wakati huo wanaoongea yaliwatokea hayo! siku zikapita nikiwa kailuki hospital kwenye bench ya kusubilia doc akawa anasimulia mama mmoja kwamba ktk maisha yake hawezi kuacha kumshukuru nabii yule (FROLA)alimponya miguu iliyomtesa kwa miaka mingi sana na kumbewakati anaongea ivyo kulikuwa na dada ambaye alikuwa na tatizo la kutopata hedhi yapata miaka nane na akawa hazai akashawishika na kwenda na kwa kuwa nilikuwa interested ilibidi nichukue no yake na kumhimiza amtafute baada ya wiki mbili alianza kuona siku zake hii ni kweli ndugu zangu!...nami nikaanza kwenda...miujiza niliyowai kuishuhudia watu wakisema ni mingi sana mfano ya kuwafanikishia watu ajira,kuponya uvimbe matasa kuzaa kurudisha mume anayetaka kupokonyoka na kugeuza maji ya kawaida uhai kuwa na sukari kwenye joto kuwa baridi mwanamke aliyetolewa kizazi kupata mimba wa nje ya nchi huyo!...nyingine kaka mmoja aliyeibiwa nyeti zake kurudi..mwingine aliibiw kodi ya nyumba na matapeli alipoenda wezi walijileta iyo nilioona dada akishuhudia na ana uwezo wa kukwambia baya linaloweza kukufika siku za mbele!....my take....mimi kama mimi namwamini ila jambo ambalo nashindwa hata ujumbe umfikieje ni suala la kujichubua!!!! HAPO KIDOGO pananikwaza! na wasiojua UNABII hajaanza kwa jili ya njaaa alianza akiwa mdogo sana na tena alikuwa naufanyia mikoani ndo akatokea mkaka mmoja kumleta DAR kwa imani kupata pesa mgongoni kwake ila akashtuka ndo mana unaona sasa ana kanisa lake tena amehamia alilojengewa na waumini salasala mbezi njia panda mbuyuni..ivyo mnaocomment ni angalau mngeenda huenda mkapata zaidi yangu...japo nakumbuka kuna siku aliyavunja maji ya chupa ya uhai na kuwaambia watu wayaonje akisema yamekuwa na asali! yaani matamu mama mmoja akanyoosha mkono akasema mboa yeye akayoonja ni ya chumvi?yeye akajibu Mungu ni wa ajabu unapomuomba kitu anaweza akakupa zaidi!! Muhimu ashauriwe asijichubue naona ilo ndilo lililowakwaza watu wengi!hayo ya sadaka ni watu wenyewe wanatoa tena wengine humpelekea kila siku kuku wa kienyeji wa kula mana yeye mwenyewe anasema huwa anapenda sana kuku wa kienyeji kama mboga yake kuu!NAWASILISHA!
 
mjinga huamini kila neno

kivipi?unaweza ukaamini au usiamini inategemea na imani na matukio ya sehemu husika...sasa mfano huyo wanayemsema hapa je wewe una ushaidi gani kama ni kweli au uongo?mi nasema no research no right to speak!nenda na wewe ukaombewe!.......eti mara nguvu za giza sasa kama ni nguvu za giza wewe mbona hujayatumia ili na wewe upate mapesa kama yeye?we unadhani MUNGU Anadhihakiwa?jaribu uone ila tu ushauri aache kujitoa ngozi yake ya juu aliyopewa na MUNGU labda huo ndo udhaifu alionao yaani anashindwa kuutambua...Ila sishangai pengine ndo PROMO yake unadhani bila ivyo angejadiliwa nini na alishasema eti wabaya wake wanamtangaza bila wao kujua mana kuna watu tu watavutika na kutaka kwenda kumuona live!
 
hapo kwenye enzi yake kochi linaonekana comfortable, ila kapu la sadaka kubwa kweli! hana vacancy ya nabii msaidizi mananke nna upako wa kutosha.

Huo upako wako sasa utakuwa umeambukizwa na Anthony Lusekelo. Upako gani wa kuangalia kapu la sadaka?
 
Nimepitia suggestions zote na mambo yote yaliyoandikwa na wadau humu kuhusu nabii huyu......ila nimegundua jambo moja kwamba karibia wote waliochangia hawajawai kwenda na kushuhudia live yale anayotabiri,kutenda na wakati mwingine kuponya according to wagonjwa wenyewe wanaoshuhudia! sasa mambo yapo ivi,miaka kama miwili nyuma mimi nikiwa mahala fulani niliwasikia akina dada wawili wakimsimulia dada huyu kwa kusema hawaji kumwamini mchungaji yoyote zaidi yake kwani matendo aliyowatabilia ndo yaliyowatokea ivyo kwao yeye ni kila kitu....basa kuwa tulikuwa tumekaa pamoja nikawa so interested to know what next!wakasama siku walipoenda waliomba wapate waume wa kuwaoa!mmoja akasema ambarikie muwe wa kizungu nawingine mwenye uwezo angalau atokane na uuzaji wa bar ambao kwake yeye alikuwa haupendi eti ikawatokea vile na ni kweli mpaka wakati huo wanaoongea yaliwatokea hayo! siku zikapita nikiwa kailuki hospital kwenye bench ya kusubilia doc akawa anasimulia mama mmoja kwamba ktk maisha yake hawezi kuacha kumshukuru nabii yule (FROLA)alimponya miguu iliyomtesa kwa miaka mingi sana na kumbewakati anaongea ivyo kulikuwa na dada ambaye alikuwa na tatizo la kutopata hedhi yapata miaka nane na akawa hazai akashawishika na kwenda na kwa kuwa nilikuwa interested ilibidi nichukue no yake na kumhimiza amtafute baada ya wiki mbili alianza kuona siku zake hii ni kweli ndugu zangu!...nami nikaanza kwenda...miujiza niliyowai kuishuhudia watu wakisema ni mingi sana mfano ya kuwafanikishia watu ajira,kuponya uvimbe matasa kuzaa kurudisha mume anayetaka kupokonyoka na kugeuza maji ya kawaida uhai kuwa na sukari kwenye joto kuwa baridi mwanamke aliyetolewa kizazi kupata mimba wa nje ya nchi huyo!...nyingine kaka mmoja aliyeibiwa nyeti zake kurudi..mwingine aliibiw kodi ya nyumba na matapeli alipoenda wezi walijileta iyo nilioona dada akishuhudia na ana uwezo wa kukwambia baya linaloweza kukufika siku za mbele!....my take....mimi kama mimi namwamini ila jambo ambalo nashindwa hata ujumbe umfikieje ni suala la kujichubua!!!! HAPO KIDOGO pananikwaza! na wasiojua UNABII hajaanza kwa jili ya njaaa alianza akiwa mdogo sana na tena alikuwa naufanyia mikoani ndo akatokea mkaka mmoja kumleta DAR kwa imani kupata pesa mgongoni kwake ila akashtuka ndo mana unaona sasa ana kanisa lake tena amehamia alilojengewa na waumini salasala mbezi njia panda mbuyuni..ivyo mnaocomment ni angalau mngeenda huenda mkapata zaidi yangu...japo nakumbuka kuna siku aliyavunja maji ya chupa ya uhai na kuwaambia watu wayaonje akisema yamekuwa na asali! yaani matamu mama mmoja akanyoosha mkono akasema mboa yeye akayoonja ni ya chumvi?yeye akajibu Mungu ni wa ajabu unapomuomba kitu anaweza akakupa zaidi!! Muhimu ashauriwe asijichubue naona ilo ndilo lililowakwaza watu wengi!hayo ya sadaka ni watu wenyewe wanatoa tena wengine humpelekea kila siku kuku wa kienyeji wa kula mana yeye mwenyewe anasema huwa anapenda sana kuku wa kienyeji kama mboga yake kuu!NAWASILISHA!

Haya uliyotaja hata wale wanao bandika kwenye nguzo za umeme hudai wanaweza kufanya !
Kwahiyo ibada ni miujiza tu ?
 
Hakuna Nabii Mwanamke katika Vitabu vyote ndani ya Biblia, iwe Agano la Kale au la Zamani, lete ushahidi kama unao
Nabii ni mtumishi wa Mungu,kwenye biblia wapo manabii na watumishi wa Mungu wanawake wengi, Na hapa nifafanue nini maana ya kuwa mtumishi wa Mungu(ni kukubali kutumiwa na Mungu ktk kile anachotaka kufanya kupitia kwako).katika kitabu cha Waamuzi yupo Debora,lakini pia katika kitabu cha matendo ya mitume anatajwa nabii mwanamke na sehemu nyingine za biblia.Hivyo manabii wanawake wapo na hata sasa wapo,lakini Yesu alisema watakuja manabii wa uongo,hivyo kabla ya kukubali au kukataa huduma ya mtu ni muhimu kumwomba Mungu akupe ufahamu/ufunuo.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom