Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,645 Reaction score 5,530 Jan 29, 2013 #61 Wacha niwe baba mchungaji
B Bwaga ya moyoni Senior Member Joined Aug 21, 2012 Posts 147 Reaction score 76 Jan 29, 2013 #62 Si Urembo ndugu. Ni Bamboocha! yaani, kajivua ngozi yake ya asili. Anamkana Mungu kwa kuibadirisha rangi aliyompa yet anadai ni Nabii? Utafutaji huu wa pesa unatupeleka kusiko kabisa. Hayajamani said: Nabii mrembo hivyo! Click to expand...
Si Urembo ndugu. Ni Bamboocha! yaani, kajivua ngozi yake ya asili. Anamkana Mungu kwa kuibadirisha rangi aliyompa yet anadai ni Nabii? Utafutaji huu wa pesa unatupeleka kusiko kabisa. Hayajamani said: Nabii mrembo hivyo! Click to expand...
Munambefu JF-Expert Member Joined Jun 24, 2012 Posts 2,916 Reaction score 7,441 Jan 29, 2013 #63 Cosmetic prophet
Henge JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 6,933 Reaction score 1,514 Jan 29, 2013 #64 kashesho said: heee mbona kajichubua hivyo? Click to expand... wakati yupo misri sasa yupo nchi ya ahadi amesafishwa na damu ya Yesu
kashesho said: heee mbona kajichubua hivyo? Click to expand... wakati yupo misri sasa yupo nchi ya ahadi amesafishwa na damu ya Yesu
S sagamawe Senior Member Joined Aug 3, 2012 Posts 148 Reaction score 36 Jan 29, 2013 #65 Manabii wanaweza wakawa wengi iwezekanavyo lakini je ni wa ukweli au uongo?
sosoliso Platinum Member Joined May 6, 2009 Posts 8,543 Reaction score 9,478 Jan 29, 2013 #66 Bujibuji said: nabii koko kala kaloraiti Click to expand... Ha ha ha ha Mkuu Bujibuji.. koko ni kivumishi kilichobeba jina na cifa.. e.g mbwa koko.. Mmanga koko.. Nabii koko..
Bujibuji said: nabii koko kala kaloraiti Click to expand... Ha ha ha ha Mkuu Bujibuji.. koko ni kivumishi kilichobeba jina na cifa.. e.g mbwa koko.. Mmanga koko.. Nabii koko..
Bilionea Asigwa JF-Expert Member Joined Sep 21, 2011 Posts 16,578 Reaction score 28,701 Jan 29, 2013 #67 KakaJambazi said: Hilo kanisa litakua na wanaume wengi sana. Kwa mzee wa upako, wamejaa wanawake. Click to expand... umeona mbali sana aisee....
KakaJambazi said: Hilo kanisa litakua na wanaume wengi sana. Kwa mzee wa upako, wamejaa wanawake. Click to expand... umeona mbali sana aisee....
Kwetunikwetu JF-Expert Member Joined Dec 23, 2007 Posts 1,535 Reaction score 416 Jan 29, 2013 #68 Ulimbwende na ....!
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,800 Jan 29, 2013 #69 hakika siku ya hukumu kutakuwa na vituko vya kila aina!! SI KILA AITAYE BABA, BABA, ATAKAYEUONA UFALME WA MUNGU! napita tu hapa, kwa kasi ya kimondo!
hakika siku ya hukumu kutakuwa na vituko vya kila aina!! SI KILA AITAYE BABA, BABA, ATAKAYEUONA UFALME WA MUNGU! napita tu hapa, kwa kasi ya kimondo!
cacico JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 8,362 Reaction score 7,800 Jan 29, 2013 #70 ameolewa?? nauliza tu!! maana mumewe ni wa kuhurumiwa pia!
I Itale keelo New Member Joined Jan 26, 2013 Posts 3 Reaction score 0 Jan 29, 2013 #72 sijawahi kumwona nabii huyu anapatikana wapi
snowhite JF-Expert Member Joined Aug 2, 2012 Posts 18,422 Reaction score 25,322 Jan 29, 2013 #73 kheeeeeeeeee mweh! ama! lahaaula! kudadadeki! maamaaa! haya twende !TUTAFIKA TU!
Aggrey86 JF-Expert Member Joined Jun 26, 2011 Posts 853 Reaction score 155 Jan 29, 2013 #74 Bila shaka kanisa lake litawajaza sana wakina baba fulani......
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Jan 29, 2013 #75 Lakini maandiko matakatifu ya Biblia yanasema watajitokeza manabii wa uwongo, hivyo mimi simshangai huyo Flora.
Lakini maandiko matakatifu ya Biblia yanasema watajitokeza manabii wa uwongo, hivyo mimi simshangai huyo Flora.
maranduhussein JF-Expert Member Joined Jul 5, 2011 Posts 275 Reaction score 140 Jan 29, 2013 #76 Kertel said: Wacha niwe baba mchungaji Click to expand... Ni ajabu ktk wachangiaji wote hakuna hata mmoja aliyenukuu Biblia Takatifu kupinga au kumkubali Nabii Flora.
Kertel said: Wacha niwe baba mchungaji Click to expand... Ni ajabu ktk wachangiaji wote hakuna hata mmoja aliyenukuu Biblia Takatifu kupinga au kumkubali Nabii Flora.
Daudi Mchambuzi JF-Expert Member Joined Nov 25, 2010 Posts 62,190 Reaction score 128,243 Jan 29, 2013 #77 Mnakosea sana mnapoyaita "makanisa ya kiroho", jina sahihi ni "makanisa ya waroho"
Dr.zero JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 964 Reaction score 434 Jan 29, 2013 #78 Unabii na utume huu...!!?
Kiby JF-Expert Member Joined Nov 16, 2009 Posts 6,933 Reaction score 4,704 Jan 29, 2013 #79 Mantz said: View attachment 81293 Nabii Flora Click to expand... . Napita tu jamani. .
Ally Kombo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 11,429 Reaction score 2,653 Feb 2, 2013 #80 COPPER said: Na kuna watu wanaamini huyu ni Nabii. Click to expand... ............ndio ! wanaitwa Wakristo, wafuasi wa Yesu !
COPPER said: Na kuna watu wanaamini huyu ni Nabii. Click to expand... ............ndio ! wanaitwa Wakristo, wafuasi wa Yesu !