Aisee.. Basi ukatoa sadaka ukaondoka.
We umejuaje na wewe kama sio jini?!!!
picha yake imenitisha, najipongeza kutohudhuria makanisani japo naamini ktk imani ya kikristo
Mungu wangu..! Ndio huyu nabii mwenyewe?
Huyu sio nabii wa Mungu huyu ni nabii wa kuzimu, malkia wa kuzimu mwenye sura ya binadamu... Hili Nalisema wazi na kwa uhakika, angalia 👑 yake ni satanic crown angalia imenakshiwa na 🎀 ribbon ya pink, tafuta asili ya rangi ya pink, gauni lake ni rangi nyeusi ya kumetameta ina maana kubwa sana kuzimu, nyusi kazitinda na kuziongezea urefu ni Mulemule....... Nitakuja na picha
Hivi Yesu pamoja na kupata majaribu yooote hayo alibadiri dini na kuokoka? naomba nijibiwe tafadhari.
Nabii Frola Peter anatenda asee!...kuna siku nakumbuka tuko kanisani kwake aliombea maji ya uhai yakawa asali tamuu...
YESU HAKUWA MKRISTO BALI WAUMINI WAKE NDIO WAKRSTOyesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Acha kumuhukumu mtu, kila mtu anayake kabeba moyoni, nivema mtu kujisafisha nafsi yako kuliko kumwona mwingine mdhambi.
Ndio maana watu wengi wanakata tamaa na dini. Sasa wewe na uchafu wote unaoandika hapa forum eti unasali kwa nabii halafu tena amekusaidia? Basi atakuwa ni Lusifa mwenyewe na wewe ni ibilisi
Ziada.
Usimdiscuss mtumishi wa Mungu. Hata kama anakosea kumbuka Miriam na nduguze walifanywa nini kwa kumsema mtumishi wa Mungu. Mungu ana makusudi kuacha magugu na mbegu njema kuota pamoja.
Watu mbalimbali wanapokea kila leo miujiza
1. Stika zipo na watu wanapokea miujiza
2. Mafuta yapo na watu wanapokea miujiza
3. Sabuni anatoa na watu wanapokea miujiza
4. Damu ya YESU anatoa kila siku saa10 kasoro Jumamosi na Jumapili
5. Anatabiri njoo ujionee mwenyewe na anavyotabiri na unajua wa kweli au uongo
0657442699 au 0753335673
Kumbe alikuwa ni tapeli?
yesu hakua na dhehebu, alikua mkristo alie kamili
Yesu hakuwa mkristo kamili BALI Yesu ni KRISTO!