Wee...Msimu wa 2019/20 aliiombea Uto isifungwe na Simba akawachangisha na sadaka, matokeo yake uto wakabong'oa wakapigwa kimoja cha nguruwe watoto 12.![]()
Kweli uto kazi wanayo! Wameshageuzwa kichwa cha mwendawazimu ..inaonekana baba mchungaji ni mwananchi mwenzetu maana hajaiombea biashara wala azam
View attachment 1943702
Naona hapo mwisho "AmeTangulisha" Shukrani!😂😂