Wanaoamini juu ya Manabii, ni kwamba tar 9/9/2015 Nabii wa Kanisa la Ufufuo amemtabiria Dr wa HAPA KAZI TU kwamba atashinda kwa kishindo na kuwataka wanaotoa mapovu watulie kwani wanapoteza nguvu zao. Amejinasibu kwamba ametabiri mengi ambayo yamekuja kutimia kuwa kweli.....lets wait loading...Wale wa team Gwajima mpo?

Huyu anatekekeza agenda ya UVCCM ila bahati mbaya hajui hata nani anaongoza kanisa gani !!? . Lo hadi aibu kwa alivyoumbuka.Duh hivi kanisa LA ufufuo lina nabii mwingine zaidi ya gwajima? Na kama ni huyu gwajima si ndio anampigia Edo upatu!!! Sasa inakuwaje hapo sijaelewa?
Kondoo mwasi na siri zake zianikwe tuHawa ndio manabii wa kweli,sio lile linaloenda kutoa siri za kondoo wake mbele ya wanahabari.