Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,390
hahahahaha sitaki tena unichepue.......
Unataka niwe na kifua kama tairi ya gari?
hahahahaha sitaki tena unichepue.......
hahahahahahahaha!!Unataka niwe na kifua kama tairi ya gari?
six pacs ndo nn tena wajameni???
Walah mie napenda vitambi....tena vile vya bia!!
Sixpac pelekea magazeti yauze kwangu mie nataka kiriba tumbo chenye mipesa.
hahahahahahahaha!!
watakuwa wanapenda kucheza draft
Vitambi vina madhara kiafya; we unavipendea nini?![/QUOTEweeh napendea tu kubembea asikwambie mtu vina jotroo
akuu mie six packs za nini mimi napenda hela tu
Vitambi vina madhara kiafya; we unavipendea nini?![/QUOTEweeh napendea tu kubembea asikwambie mtu vina jotroo
Hahahaha...ngoja nianze kupalilia cha kwangu nikutafute ufaidi..!
Hahahaha...ngoja nianze kupalilia cha kwangu nikutafute ufaidi..!
Ah asa mie ninao hao vitambii wa kunitosha ila ukikubali kua mchepuko cyo mbaya...njooo hukuu
Ah asa mie ninao hao vitambii wa kunitosha ila ukikubali kua mchepuko cyo mbaya...njooo hukuu
Nakubali kwa moyo mmoja.! Hukooo ndiyo wapi sasa?