Naanza kuona dalili ya serikali ya mseto

uko sawa mkuu lakini kabla ya kuwepo selikari ya mseto kutakuwa na machafuko kwa takribani mikoa saba,ukianza na dar!
 
mkuu hujaeleza kivipi iwe mseto, Ukawa watashinda kwa margin kubwa sana, na watakuwa na wbnge wengi! kwa nini unaanza kuota
 
Serkali ya mseto haipingikii na litakua jambo la maana kwamstakabadhi wa taifa letu..

Lamsingi uchaguzi uwe waamani na salama
 

Zitto anagombea u diwani Kigoma ataingiaje Bungeni ?
 


Hivi Mwizi tangu lini akawa na Mvuto? Jambazi Sugu hana mvuto wowote ni ujinga tu wa Mbowe na tamaa yake ya pesa. Kusema EL ana mvuto ni dhihaka tu na wala sio hoja. Angekuwa na mvuto si mngeenda kunywa nae chai? Kama kura zingekuwa zinapigwa na wanaokula peremende za EL hapa JF basi ni kweli. EL amewashika pabaya hivi mnaombea uchaguzi uahirihwe ili muendelee kufaidi peremende maana mtakuwa mahohehahe.
 
Edward anachukua nchi tena kwa ushindi ambao si wa kitoto.Huyi jamaa ni kichwa cha watu wengi sana na kura zake haziibiki so suala la serikali ya mseto ni ndoto isiyokuwa na tafsiri.
 
Tena kwa kumuita mwizi bila uthibitisho imemuongezea nguvu zaidi
 

Please kuna picha flani hapo hujaiangali.
Huyo Zitto huyo kakusanya wote wenye maono ya Dr. Silaa lakini hawako radhi ipigia CCM
 
PLEASE, watu wengi hawaja kuelewa sababu hawajui hata katiba yao, kwa ufupi waziri mkuu lazima atoke kwenye chama chenye wabunge wengi, kwa hesabu nyepesi si CDM au CUF wenye uwezo wa kufikia viti vya CCM peke yake, hiyo inamaanisha hata kama EL akishinda tutakuwa,waziri mkuu atatoka CCM, mawaziri watatoka kutoka pande zote sababu rais ana uhuru wa ku chagua waziri toka chama chochote.
Suala la kuchaguliwa EL kushika bendera ya UKAWA ndio madhara yake haya, top layer ya watendaji( Rais na WM) ni CCM makapi na CCM pure, halafu tunaendelea kuimbishwa propaganda za mabadiliko, inahuzunisha sana, uchaguzi huu CCM wame tu boko haram kwa kutuingizia wagombea wawili huku UKAWA wakiendelea kuimba nyimbo za matumaini ya uongo ya mabadiliko
 
Last edited by a moderator:

Nashukuru sana kwamba una nguvu kuliko katibu Mkuu kinana aliyesema moshi jana kuwa ccm kuna wezi na Majambazi na wanafiki na tumchaguwe magufuli awaondoe.Unajaribu kujitoa ufahamu kuwa epa.escrow na meremeta si miradi ya maendeleo na unaona kuwa richmond ndo wizi tu.Haki ya nani na kuambia.Kazi unayoifanya si tu itakuaibisha bali itakupa kufedheheka daima huu ni mwaka wa wawanyonge na maskini
 
Nyie mliofumbwa macho hamuwezi kuona hayo mabadiliko! Sera zitakazotekelezwa ni za ukawa sio ccm!
 

Kujamba wewe, Kuharisha wewe, kunya wewe, kutapika wewe. Ni kipindupindu au nini?
 
Mimi naona unachosema ni kama unachotaka kiwe baada ya upande wako kuelemewa. Mimi binafsi nina uhakika hakuna serikali ya mseto kwa sababu wabunge wengi ni wa UKAWA kulingana na hamasa ya kuindoa CCM madarakani.
 
Lowasa anakubalika kila kona,jpm wasanii ndo wana mboost,kiukweli el hana mpinzani
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…