Naanza kumpenda Magufuli. Kuna mambo hayasemwi kabisa kwa sababu maalum kumbe Magufuli ana haki kwa upande mwingine

Infact magu Kuna baadhi ya vitu anafanya Poa sana kama Rais

Haiwezekani akawa anafanya mabaya kila siku .

Yes Kuna vitu anavifanya excellent Sana

Ila Sasa Kuna vijitu vile #Mataga yaani wanakera hatari unasifia mpaka unakera

Ushauri tu mzee wakumbuke watumishi wa UMMA hapo ndipo Kuna Credit yako ya msingi ili blunders zako zote zifutike automatically

Ukimaliza miaka yako wataziimba sifa zako mielele

Ukiwasahau Hadi unamaliza watasema "yule hakuwa Rais was watu Bali wa madaraja,ndege,mabwawa,na wasukuma"
 
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M sio rahisi kutekeleza matakwa ya kibinafsi au ya makundi ya wachache.

Makala yangu itajikita katika mazuri ya Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kimsingi sisi watesi wake au tunaomchukia hatuyasemi kwa uwazi.

Naomba ku declare interest kwamba Mimi ni mpinzani wa CCM na hasa Magufuli mwenyewe ila Kuna Mambo mema ambayo kwakweli nisipomsifu yeye binafsi Nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu.

Nitatumia uwanja huu kuongelea mazuri ya MH Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kwakweli binafsi nimeyaona ;

Magufuli Leo kuna mahali nimepata ukweli mwema kuhusu wewe Rais wangu naomba niamini chanzo kile.

My Rais Kama niliyoambiwa Ni yakini basi wewe Ni jembe nguli hakika ila njia inayotumiwa kuonyesha Nia yako ni ndefu Sana wasioielewa tunalaumu :

NB: CCM Hamhusiki na uzi huu msijipendekeze
Kalime wacha kusumbua watu saa tano usiku unamuwaza JPM badala ya kujamiiana na mkeo
 
Utakuwa ushapata ajira au tenda au maslai yako yamekumbukwa.Wengi wapingao ni baada ya maslai yao kupigwa dhoruba,huwezi kuta mtz ana praise bure.
 
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M sio rahisi kutekeleza matakwa ya kibinafsi au ya makundi ya wachache.

Makala yangu itajikita katika mazuri ya Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kimsingi sisi watesi wake au tunaomchukia hatuyasemi kwa uwazi.

Naomba ku declare interest kwamba Mimi ni mpinzani wa CCM na hasa Magufuli mwenyewe ila Kuna Mambo mema ambayo kwakweli nisipomsifu yeye binafsi Nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu.

Nitatumia uwanja huu kuongelea mazuri ya MH Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kwakweli binafsi nimeyaona ;

Magufuli Leo kuna mahali nimepata ukweli mwema kuhusu wewe Rais wangu naomba niamini chanzo kile.

My Rais Kama niliyoambiwa Ni yakini basi wewe Ni jembe nguli hakika ila njia inayotumiwa kuonyesha Nia yako ni ndefu Sana wasioielewa tunalaumu :

NB: CCM Hamhusiki na uzi huu msijipendekeze

Hii ni hatari

Yaani mtu ana fall in love na oppressor wake?

Hii ni Stockholm Syndrome!

Una fall in love na Jiwe?Yaani your oppressor?

Haya ni maajabu!
 
Nimekwelewa,
Imagine tuwe wakweli wale wa siasa kali wamevukaje Somalia na Kenya mpaka msumbiji/mocambique bila kuweka HQ kwenye pwani zetu ? Hatuombei hili litokee ila pengine hulka ya magufuli imesaidia Sana bila sisi kujua imagine leo alshabaab wanatikisa msumbiji hapa waliondolewa kwa kwa wiki tatu nakiri kusema hili kwasababu Kuna ndugu yangu Ni komando wa jwtz tulikuwa na matatizo ya kufamilia nikampigia by then nikiwa nje ya nchi ananiambia nanukuu "Kaka Niko porini operation maalum kibiti mtwara kata simu" baada ya hapo ikawa mwisho wa mawasiliano miaka mitatu mpaka Leo*
 
[QUOTE="superbug, post: 33346341, member: 474kuu ungejua Mambo yasiyotangazwa Ni makubwa kuliko yanayotangazwa ungemheshimu msukuma/ meko
[/QUOTE]
We umebugia marivela yako unakuja kutucheulia harufu mbayaa
 
Kuna Mambo hayasemwi kwa uwazi kwasababu ya busara ambazo Ni sahihi tukumbuke Magufuli anaongoza watu milioni 60 na sio familia ya mke wa John Pombe Magufuli na mama jeska // Magufuli Ni rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania yeye Kama binadamu Kuna Mambo atakosea ila kwa uongozi wa watu 60M sio rahisi kutekeleza matakwa ya kibinafsi au ya makundi ya wachache.

Makala yangu itajikita katika mazuri ya Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kimsingi sisi watesi wake au tunaomchukia hatuyasemi kwa uwazi.

Naomba ku declare interest kwamba Mimi ni mpinzani wa CCM na hasa Magufuli mwenyewe ila Kuna Mambo mema ambayo kwakweli nisipomsifu yeye binafsi Nitakuwa sijaitendea haki nafsi yangu.

Nitatumia uwanja huu kuongelea mazuri ya MH Rais John Joseph Pombe Magufuli ambayo kwakweli binafsi nimeyaona ;

Magufuli Leo kuna mahali nimepata ukweli mwema kuhusu wewe Rais wangu naomba niamini chanzo kile.

My Rais Kama niliyoambiwa Ni yakini basi wewe Ni jembe nguli hakika ila njia inayotumiwa kuonyesha Nia yako ni ndefu Sana wasioielewa tunalaumu :

NB: CCM Hamhusiki na uzi huu msijipendekeze
Ujinga wako unakusumbua.
 
Back
Top Bottom