KOLOKOLONI
JF-Expert Member
- Mar 7, 2014
- 2,476
- 2,372
bila shaka harufu ya ikulu
Ni IPP kwa ujumla. Huoni hata gazeti la Nipashe? Mengi ndio kaanza kisasi kwa JK kupitia Lowassa. Hako kazee kanafiki kanafikiri Edo atakasamehe maovu ya miaka ilee kwake akipata urais ambao Masikini haupati.
Chuki mbaya sana, unaweza kulichukia hata jiwe, ukalivunja eti unalikomoa!
UKIkaidi;
Weye wasema utapigwa2 miye nasema utampenda tu. CCM hamna mtu mwingine mtakayemleta kwetu bali Lowassa tu. Wote ni wachafu, basi mtamleta mwenye uwezo hata wa kuwalainisha watu kwa vijisenti vyake.
EL rais mtarajiwa. Usiichukie ITV bureee kwa visingizio hafifu ka hivi vyako ati hujakurupuka, ungekuwa umetulia sijui ungeandika nini ka hivi si kukurupuka.
Dah! Hali ngumu kweli maccm, mkiandikwa kosa, mkiacha kuandikwa kosa, yaani Tbccm haiwatoshi hadi mwaitaka na hii ya watu binafsi. Poleni, kipindi cha mtu kujitangaza yeye tu kimepitwa.
Mkuu mbona unaonesha uwezo mdogo sana??
Yaani unatuaminisha ni heri hata atakae lainisha wananchi na "vijisenti" vyake?...mkuu nyie ni wasomi tuliowasomesha kwa kodi zetu mtusaidie halafu ndio unanishauri hovyo hivi kumchagua rais au kiongozi yeyote?
Aisee kama wewe nimfurukutwa wa Lowassa ni sawa,una haki hiyo lakini usituwekee mavi mdomoni tule,usiwe unapenda kulazimisha imani yako wenzio waifuate,utaonekana hayawani tu...Tushajua wewe ni mtu wa Lowassa,inatosha,vingine vitafanya tu-question your IQ
mpaka naandika kitu hiki nimefatilia sana hili swala so sijakurupuka
Wewe si tunakujua ni wa tbc toka zamani, itv umefata nini?