Habari za LOWASSA zina mvuto,na zinafunika habari nyingine.
Najua iliyokuumiza sana ni hii ya leo iliyoonyesha wananchi wa MARA, walivyokuwa na hamasa na LOWASSA, vumilia tu!
acha kulia lia hapa!
Jamaa wa ITV wako biased sana..Mkoa wa Mara Lowasa kakodi vijana kutoka Musoma mjini anazunguka nao mkoa mzima. Kuna eneo jamaa kazomewa mwanzo mwisho huku vijana wakionesha alama ya vidole viwili mbona hawajaonesha?
Mbona wametangaza na wameonesha wasira na magufuli wakitafuta wadhamini, au wewe ni anti_Lowassa