Naanza kuhisi harufu fulani ITV

Naanza kuhisi harufu fulani ITV

ukikaidi utapigwa2

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2015
Posts
16,286
Reaction score
31,682
Kuna nini ITV na Lowassa? Mbona kila siku taarifa ya habari ni yeye tu?

Kuna maswali ya kujiuliza hapo:

1.Anayetafuta wadhamini CCM ni Lowassa tu?

2.Hao wengine sio habari mpaka huyo tu?

3. Watazamaji wa ITV wote wanapenda habari za mtu mmoja tu?

Tafadhali sana ITV mnajishushia heshima, soon nitarejea TBC basi ieleweke tu.
 
Mbona TBC habari ni za CCM tu, mara leo Kinana yuko huku mara yuko kule,?
 
Sio Lowasa tu, hata Magufuli ameonyeshwa akitafuta wadhamini huko bkb
 
acha upotoshaji. leo imerushwa habari ya magufuli, wasira, lowasa, balozi nani nani sijui, na mwandosya
Bila kusahau SIX akiwa Pemba, huenda mleta uzi huwa anaangalia TV kwa style ya remote mkononi huku akihama hama pia akiangalia heading tu anafanya conclusion
 
mpaka naandika kitu hiki nimefatilia sana hili swala so sijakurupuka
UKIkaidi;
Weye wasema utapigwa2 miye nasema utampenda tu. CCM hamna mtu mwingine mtakayemleta kwetu bali Lowassa tu. Wote ni wachafu, basi mtamleta mwenye uwezo hata wa kuwalainisha watu kwa vijisenti vyake.

EL rais mtarajiwa. Usiichukie ITV bureee kwa visingizio hafifu ka hivi vyako ati hujakurupuka, ungekuwa umetulia sijui ungeandika nini ka hivi si kukurupuka.

Dah! Hali ngumu kweli maccm, mkiandikwa kosa, mkiacha kuandikwa kosa, yaani Tbccm haiwatoshi hadi mwaitaka na hii ya watu binafsi. Poleni, kipindi cha mtu kujitangaza yeye tu kimepitwa.
 
Last edited by a moderator:
magufuli amesema hataki kuongea mengi, wassira kapewa airtime ya kutosha tu mbona?
 
Roho Mbaya sasa ripoti yako ni nini, lowassa au rais wa kaskazini?
 
Last edited by a moderator:
mangatara shusha pumzi kwanza then ongea taratibu , October itaongea mkuu
 
Last edited by a moderator:
mzee wa ukanda, ebu tuambie sasa iv ni zamu ya kanda ipi? bila shaka ww ni team membe(i guess) zamu ya kusini ilishapita awamu ya 3. pwani awamu ya nne, kwa hyo sasa iv ni zamu ya kati(nyalandu na mwigulu) au magharibi (sitta na kigwangala) mawazo ya kibaguzi nayachukia sana na haya hufanywa na watu walio nyuma kielimu na kifikra
 
Back
Top Bottom