Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 13,226
- 26,048
Na we ni mmoja wapo wa wahujumu nini?Unahangaika sana we dogo....
Royalist indeed! Mwendakuzimu kweli alliiharibu hii nchi...yaani mtu hujui lugha lakini unalazimisha na wewe uonekane upo. Eti royalist...yale yale ya fenti ford!hao ''royalist'' ni watu watu gani tena jamani? Tuna utawala wa kifalme Tanzania?
Kazi yetu kuwapa ushauri wanaomshauriHebu tumpuzisheni Mama ( Rais ) Samia kwa kila Mtu tu Kukurupuka na Kumshauri. Alionao wa Kumshauri wanamtosha sana tu.
Ugomvi wa kijinga na upinzani hautamsiadia Mama angeacha kufuata nyayo za hayati kwenye hili
Mwendakuzimu wako akikutandika akiwa hai na bado anakutandika akiwa mfu!Royalist indeed! Mwendakuzimu kweli alliiharibu hii nchi...yaani mtu hujui lugha lakini unalazimisha na wewe uonekane upo. Eti royalist...yale yale ya fenti ford!
Mpwa, CCM wana wimbo wao "CCM ni ile ile"!!! Hata huyu ni hao hao, huyu si ndio alisema kuwa Lissu hakupigwa risasi na Polisi, maana kwa mafunzo waliyonayo wasingemkosaKuna mambo yamenifanya nianze kuamini kuwa Kuna hujuma dhidi ya Rais Samia ingawa nilikuwa nikisikia tu na kutoamini huko mwanzoni. Mambo haya ni
1. Tanesco kukata Umeme hovyo nchini- Na hii ni nchi nzima, hata muda huu, umeme umekatika maeneo mengi nchini. Kalemani yuko kimya, Wizara ya Nishati wapo kimya
2. Yanayoendelea CCM. Kwa sasa huko Ccm kuna defectors , wanajulikana na motive yao inajulikana. Yaliyoandikwa kwenye gazeti la uhuru mpaka likafungiwa hayakuandikwa kwa bahati mbaya
Ushauri kwa Mama
1. Fanya kazi na royalist wako, wanaokusikiliza na kukuheshimu. Fanyia kazi kundi linalotaka kukuhujumu. Anzia na Tanesco na Wizara ya Nishati
2. Kuna Royalist wa Mtangulizi wako hawako tayari kufanya kazi na wewe. Piga chini weka wengine.
3. Itumie idara vizuri na wajipange vizuri dhidi ya hawa watu
Hahahaah CCM huwa hawakosi pa kutokea wakibanwaUpumbavu tu!
Kodi kwenye mafuta, mama anahujumiwa!
.
Kodi kwenye miamala, mama anahujumiwa!
Umeme kukatika, mama anahujumiwa!
Huyu mama yenu basi atakuwa ni wa hovyo sana!