kanali mstaafu
JF-Expert Member
- May 17, 2015
- 4,318
- 4,118
Ndo nn umeandika??
fact hiiLakini si unajua kuna maaskofu wa RC wanachunguzwa uraia wao baada ya kutoka maoni ya kukosoa serikali? Basi kama hoja ni kuleta huduma za kijamii ndo inawapa uhalali wa kuikosoa serikali hata walivyo wekeza si halali maana hawakuwa raia!