Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 #1 Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana. Congratulations to me, Now in the house. #naantombemushi.eeeka#
Mimi ni mgeni humu na nimekuwa nikipendezwa sana na mada nnazozisoma humu kabla sijajiunga. Hivo na mimi nimeamua kujiunga humu coz ni sehemu ambayo naweza kupata ushauri wenye maana. Congratulations to me, Now in the house. #naantombemushi.eeeka#
Janjaweed JF-Expert Member Joined Jan 20, 2010 Posts 13,152 Reaction score 10,681 Oct 23, 2015 #2 Naantombe mhh haya
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,105 Reaction score 136,783 Oct 23, 2015 #3 Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu. Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 23, 2015 #4 Unaitwa nani???
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 23, 2015 #5 Nyani Ngabu said: Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu. Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako. Click to expand... Meona eeeh.
Nyani Ngabu said: Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu. Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako. Click to expand... Meona eeeh.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Oct 23, 2015 #6 We kama si "KE" basi utakua bwabwa.
saadmad JF-Expert Member Joined Aug 12, 2011 Posts 729 Reaction score 653 Oct 23, 2015 #7 Yebo!! baba nantombezeni yebo! namwesiiza uzindaba yebo!!
Mr.laravel JF-Expert Member Joined Oct 1, 2015 Posts 471 Reaction score 514 Oct 23, 2015 #8 hahaha hilo jina ni la Asili au la kidhungu ?
Mandingo JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 5,595 Reaction score 6,772 Oct 23, 2015 #9 Dogo j. Pili hakikisha kura kwa Lowassa!
Kanali G JF-Expert Member Joined Oct 21, 2013 Posts 9,897 Reaction score 14,436 Oct 23, 2015 #10 Bila shaka atakuwa anatokea mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote Africa
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 Thread starter #11 Nyani Ngabu said: Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu. Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako. Click to expand... Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha?
Nyani Ngabu said: Siamini kabisa kama wewe ni mgeni humu. Kilicho kigeni humu litakuwa ni hilo jina lako. Click to expand... Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha?
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 Thread starter #12 Janjaweed said: Naantombe mhh haya Click to expand... Wonderful said: Unaitwa nani??? Click to expand... Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Janjaweed said: Naantombe mhh haya Click to expand... Wonderful said: Unaitwa nani??? Click to expand... Naitwa Naantombe Mushi natokea Kilimankyaro.
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 Thread starter #13 Mr.laravel said: hahaha hilo jina ni la Asili au la kidhungu ? Click to expand... Jina la kiasili kabisa halina hata chembe ya udhungu.
Mr.laravel said: hahaha hilo jina ni la Asili au la kidhungu ? Click to expand... Jina la kiasili kabisa halina hata chembe ya udhungu.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,105 Reaction score 136,783 Oct 23, 2015 #14 Naantombe Mushi said: Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha? Click to expand... Ah wapi, hata uandishi wako tu unaonyesha we si mgeni humu.
Naantombe Mushi said: Haha kwanini mkuu, mimi ni mgeni kabisa au uandishi wangu umekuogopesha? Click to expand... Ah wapi, hata uandishi wako tu unaonyesha we si mgeni humu.
BADILI TABIA JF-Expert Member Joined Jun 13, 2011 Posts 32,766 Reaction score 23,217 Oct 23, 2015 #15 Mmmmmmh Jina lako...
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 Thread starter #16 Gide MK said: Bila shaka atakuwa anatokea mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote Africa Click to expand... Eeeh meku akwa natokea Kilimankyaro
Gide MK said: Bila shaka atakuwa anatokea mkoa wenye mlima mrefu kuliko yote Africa Click to expand... Eeeh meku akwa natokea Kilimankyaro
Naantombe Mushi JF-Expert Member Joined Oct 16, 2015 Posts 6,254 Reaction score 15,735 Oct 23, 2015 Thread starter #17 Nyani Ngabu said: Ah wapi, hata uandishi wako tu unaonyesha we si mgeni humu. Click to expand... Huu mwaka wa mabadiliko sasa lazima tuyaishi mabadiliko.
Nyani Ngabu said: Ah wapi, hata uandishi wako tu unaonyesha we si mgeni humu. Click to expand... Huu mwaka wa mabadiliko sasa lazima tuyaishi mabadiliko.
A activist Senior Member Joined Jan 3, 2014 Posts 186 Reaction score 296 Oct 23, 2015 #18 Naantombe Mushi said: Eeeh meku akwa natokea Kilimankyaro Click to expand... Kwifenda ro mushi a mangi?
Naantombe Mushi said: Eeeh meku akwa natokea Kilimankyaro Click to expand... Kwifenda ro mushi a mangi?
Lucky One JF-Expert Member Joined Nov 27, 2013 Posts 663 Reaction score 431 Oct 23, 2015 #19 karibu Mkuu jamvini,...ushauri wa kumwaga ila uchanganye na zako kabla ya kuchukua maamuzi....welcome
karibu Mkuu jamvini,...ushauri wa kumwaga ila uchanganye na zako kabla ya kuchukua maamuzi....welcome
AdanaVural JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 628 Reaction score 354 Oct 23, 2015 #20 Aisee hilo jina lako la mwanzo yani kulitaja ni tusi kubwa sana kwa mwanaume kwa lugha yangu