Wadau nadhani mei moja imekwisha,mimi lwa ufupi ni msichana nina miaka24 nimemaliza chuo mwaka jana nipo mtaani nafanya biashara ndogo ndogo,me ni mchaga mmarangu, katika mipango yangu ya maisia nadhanh huu ni wakati wangu wa kuanzisha familia na kupanga maisha mengine,nadhani mume wangu yupo humu,ni wa kabila langu sio mbali na nilipozaliwa hvyo naomba ajitokeze tuwasiliane au tukutane,me naishi mwanza na tarime kwa sasa kwa sababu ya biasiara yangu,
nadhani mmenielewa ,
amekuambia anayo?Huku wasanii ni wengi . Angalia usijetolewa bikir a ukabaki unalia na moyo wako
My dia 24 unataka kuolewa...aiseeeeeeeee :A S 13::A S 13:
Fanya kwanza pilika zako mi nahisi ni mapema mnooo .....utazeeka kabla ya muda...
yani mi nikiwa miaka 24 nilikuwa nawaza kitu cha kunifikisha mbali kimaisha,wewe unawaza ndoa,Fikiria vizuri nahisi umekurupuka
bahati ya wazi hii..
ila kwa bahati tayari ninae mke wangu 'Valentina'
Mbuzi kafia kwa muuza supu, haya wanaume wa jf kamateni fursa
SAYANSIKIMU na hapa ukikosa kaoge baharini....
Nikikosaga usingizi na stress zikizidi naingia humu mdogo angu utampata mume kama ipo ipo tu!!! Kila mtu na malengo yake wengine mlianza la kwanza na miaka kumi la saba miaka kumi na saba mpaka ufike chuo miaka ishirini na nane... Mwenzenu kamaliza chuo mapema anatafuta kamume kake mna.mdiscourage umri kwendrrreni zenu huko.... Sema mdogo angu usingeweka ubaguzi wa kabila kwanza nasikiaga kaka zetu wa nyanda hizo hamna kitu sita kwa sita natanguliza samahani sina uhakika...
bahati ya wazi hii..
ila kwa bahati tayari ninae mke wangu 'Valentina'
Every time i think about u my sweetheart!
My dia 24 unataka kuolewa...aiseeeeeeeee :A S 13::A S 13:
Fanya kwanza pilika zako mi nahisi ni mapema mnooo .....utazeeka kabla ya muda...
yani mi nikiwa miaka 24 nilikuwa nawaza kitu cha kunifikisha mbali kimaisha,wewe unawaza ndoa,Fikiria vizuri nahisi umekurupuka
Nautanani moyo wako, unaheshimu mipaka ya kijografia na kabila
Kwa hiyo sie wa Tunduru hapana?
Je wanaoolewaa na miaka 16!!?
bora wenye viherehere vya kuolewa kuliko wenye viheerehere vya kugegedwa gegedwa hovyo