Naamini mume wangu nitampata kupitia jf


24 Unataka aendelee kupuyanga mitaani?

Huo ni mida muafaka wake kuolewa ajenge familia ww kama unasubiri ndoa za uzeeni mwachie mwenzio aanze maisha yake mapema.
 

tumekuelewa mangi ....owky CC.TEAMPLAYERS mteremko na mountain due yabaridiiii easy comee easy geda geda
 
Ifike wakati wasichana tupunguze viherehere vya kuolewa....
Re: Naamini mume wangu nitampata kupitia jf
Wasichana wa hapa wengi wamefeli kwenye hiyo idara..wamekataa tamaa..wana negative thought kuhusu ndoa..so uwe makini watakukatisha tamaa sana
 
Kila la heri binti,,, ngoja vijana waamke but pls kwa mume wangu usikaribie
 
Npm...nilikua nasubir sana useme ivo...m mwenyew mke wang anatoka umu umu na ni ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…