Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond

Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond

Pamoja na hayo.Status inapotea

Status gani inayopotea mkuu? na huwezi jua promo labda ilikua sio nzuri, Kiingilio watu walishindwa kumudu,tarehe za kupiga shoo hiyo labda mifuko ya watu ilikua empty we never know ngoja tuone kama show tano zaidi ndio tutatoa maoni yetu
 
Behind every successful man, there is a woman.
 
Inawezekana picha imepigwa saa 1930.

Mie si fan, so I can claim objectivity.

Hapa bila kujua picha imepigwa saa ngapi hakuna cha muhimu, labda sanasana Preta atapata kanyela mumo lake.

Inawezekana picha imepigwa mapema wakati wa mic check.

On the other hand mganga ws Diamond alishapiga beat.
 
Last edited by a moderator:
mbona hata watu wenyewe hawonyeshi kama wako kwenye tukio la mziki? kama vile wako supermarket?
 
me dogo nachomkubari ni moyo wake wa kupigana mpaka katoka...ni mfano mzuri wa kuigwa kwa vijana wa kitanzania...kasoro tabia tu ndo naenda tofauti na huyu jamaa...me namwombea aendelee kuvuta mkwanja sema apunguze kasumba na dada zetu hawa cz hao ndo watamwangusha...
 
Mie si fan, so I can claim objectivity.

Hapa bila kujua picha imepigwa saa ngapi hakuna cha muhimu, labda sanasana Preta atapata kanyela mumo lake.

Inawezekana picha imepigwa mapema wakati wa mic check.

On the other hand mganga ws Diamond alishapiga beat.

Mkuu mi huwa naingia vila park pale mwanza hasa siku za alhaimis ambayo ni siku za taarabu, kwaanzia saa nne mpaka saa 7 ivi usiku, ukipiga picha, haitakua tofauti na na iyo ya diamond. Kuanzia saa tisa ivi panafurika balaa, kwani watu wanatoka disco mbalimbali mfano pale The kiss club opposite yake ambayo mara nyingi saa 6 tu watu hawapo.

Mi siamini ishu ya uchawi apo, la msingi ni kujua picha ilipigwa saa ngapi.
 
Hebu jaribu kuni PM picha yako nikuone urefu kwanza Mumy...:glasses-nerdy:
Preta nimeona bora nimpatie ile picha yako ulinitumia..

Very-Short-Woman--55588.jpg
 
Last edited by a moderator:
Mkuu mi huwa naingia vila park pale mwanza hasa siku za alhaimis ambayo ni siku za taarabu, kwaanzia saa nne mpaka saa 7 ivi usiku, ukipiga picha, haitakua tofauti na na iyo ya diamond. Kuanzia saa tisa ivi panafurika balaa, kwani watu wanatoka disco mbalimbali mfano pale The kiss club opposite yake ambayo mara nyingi saa 6 tu watu hawapo.

Mi siamini ishu ya uchawi apo, la msingi ni kujua picha ilipigwa saa ngapi.

Wewe huamini uchawi wengine hatuamini kabisa.

Have a sense of humor.

Usikubali kuamini, taka kujua.
 
Akarenyuu tunguli,nadhani zimesha eksipaya!!!!
 
Nadhani hasara ni kwa wale waliomwita yeye atakuwa amevuta zakekilaini!
 
watu bhana,mi nilikuwepo na hiyo pic ilipigwa mapemma kabisa kabla ya show kuanza
mnaotamani diamond adrop endeleen tu kuvumilia kwanza
 
Back
Top Bottom