wakati watanzania wachache
wasiopenda kabisa mafanikio ya
huyu msanii, wakitabiri kuwa huu
ndio mwisho wa Diamond
mambo yako tofauti kwani kila
siku anapiga show zinazomlupa
pesa nyingi kuriko msanii yeyote
nchini kwa sasa(kwa kipind kifup
akiwa amepiga show zaid ya
5,1:usiku wa wasafi ndani ya
maisha club
2:miaka 36 ya ccm kigoma,
3:uzinduz wa uwanja wa ndege
kigoma
4:uzinduzi video mpya ya ommy
dimpoz
5;valentine day Mwanza)
na jana kuvunja rekodi jijin
Arusha mhi ambao bongo fleva
haikubariki kihivyo lakin kavunja
recodi kwa kufanya show yenye
kiingirio kikubwa cha Laki moja
nusu na raia kufurika(hakuna
msanii wa bongo fleva aliyewahi
fanya hivyo)ikumbukwe aliwahi
anda show yake binafsi kiingirio
kikiwa 50000 na watu wakafurika.
binafsi sina chuki na mziki wa
diamond na mwanamzik yeyote
atakayefanya vizuri na siku zote
namwombea mziki wake uzid
kukuwa ili siku moja nasi tuwe na
mwanamziki anaetambulika
kimataifa
zaid msome diamond mwenyewe
Kiukweli Namshukuru Sana
Mwenyezi Mungu kwa kuweza
kufanikisha
usiku wangu huu wa Usiku wa
Valentine
uliofanyika Mjini Arusha ndani
ya CLUB SAFARI CARNIVAL
Tareh 16/02/2013....maana ilikua
ni mara ya Kwanza kwa Msanii
wa kitanzania
kufanya show kwa Kiingilio
kikubwa cha (150,000) Laki Moja
na Nusu na watu kufurika
pasipo hata mimi
kutegemea.....Kiukweli ilinifariji
sana na kuona kweli Watanzania
wanathamini na kujali vipaji na
sanaa zao tofauti na zamani
tulikuwa tukiona show ya
kiingilio kikubwa ni mpaka
msanii wa kutoka nje akija
nchini ndo watu ujaa kwa
wingi..!
Inanipa hali ya kuzidi kufanya
vizuri, kujituma na kuwa
mbunifu zaidi ili nami kesho
na kesho kutwa niweze kuiweka
Nchi yangu kwenye Ramani
nzuri ya
Tasnia ya Muziki....!!
Niushukuru Pia Uongozi mzima
wa CLUB SAFARI CARNIVAL,
MOUNT MERU HOTEL... Ma Boy
Victor,Erick na Wanangu wote
Niliokuwa nao Pamoja
Arusha..Bila kumsahau
My Blood Ibrah Madharau
source:
This is Diamond