Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond

Naam na hili ndilo anguko rasmi la msanii diamond

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,753
182615_504928836217619_1799929052_n.jpg

BELIEVE IT OR NOT…..HII NDO CROWD ILIYOKUWEPO KWENYE SHOW YA DIAMOND JIJINI MWANZA-TANZANIA SIKU YA JANA TAREHE 14-2-2013……. Intresting!.......Ukumbi unaitwa Gold-Crest.......Photo Credit FORTUNATUS MKARE
 
Wewe mtu anavuta mkwanja wewe payuka.Huyo allitwa A town kujawaburudisha wadau wa NSSF A town.Mkwanja mreeefu kavuta huyo dogo.Kwanza kapandishwa Pipa la precission kutoka dar mpaka A town
 
182615_504928836217619_1799929052_n.jpg

BELIEVE IT OR NOT…..HII NDO CROWD ILIYOKUWEPO KWENYE SHOW YA DIAMOND JIJINI MWANZA-TANZANIA SIKU YA JANA TAREHE 14-2-2013……. Intresting!.......Ukumbi unaitwa Gold-Crest.......Photo Credit FORTUNATUS MKARE

Uuuuh......hii kiboko.....ila kuna yule dada pale kapiga kitu cha kanyela mumo cha red.......nimekipenda......
 
C.T.U Hawezi kufulia bado ana tender za kwenye uchaguzi wa Magamba. Mwanza wanachadema wapo wengi aje apige Mtwara kama hatajaza watu au subiri chaguzi zije
 
C.T.U Hawezi kufulia bado ana tender za kwenye uchaguzi wa Magamba. Mwanza wanachadema wapo wengi aje apige Mtwara kama hatajaza watu au subiri chaguzi zije

Wenzio wa Mtwara wanasema Gesi kwanza afu we unasema utakwenda kwa diamond, utapita kweli mnarani au pikipiki yako itatolewa mafuta.
 
C.T.U Hawezi kufulia bado ana tender za kwenye uchaguzi wa Magamba. Mwanza wanachadema wapo wengi aje apige Mtwara kama hatajaza watu au subiri chaguzi zije
mbona magamba yameshavuliwa kabisa kwenye uchaguzi wa kamati kuu.sasa kazi imebaki moja tuu kuvua mgwanda
 
hasara kwake au waandaji? maana dau lake liko pale pale hata kama wangeingia watu wawili
 
babu zetu waliwaamini sana watu walioitwa rain makers,amekosa heshima,sio yeye tu wapo wenzie kibao wanashinda mikoani kuogeshwa badala ya kukaa kutunga lyrics,wakirudi dar wanaimba makamasi halafu wanataka crowd na mkwanja wa maana.yote hayo sio ishu hapa bwana kama ana akili angekuwa alianza kusoma QT hope now angekuwa mbali sana lakini ndo hivyo.no time to waste if we dont control it.
 
Back
Top Bottom