Bramo
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 13,160
- 10,007
Kwa hiyo wewe upo kwenye kum promote Makonda sio ?Nyie jamaa mnatakiwa muanze kumpromote katibu wenu, mbona jhiiiiiiiii sana?
Kwa hiyo wewe upo kwenye kum promote Makonda sio ?Nyie jamaa mnatakiwa muanze kumpromote katibu wenu, mbona jhiiiiiiiii sana?
hivi bado hipo hiyo programuNajaribu kupanda daladala kila siku huenda nikabahatisha kumuona japo mwalimu mmoja tu akitoa kitambulisho lakini daah wamekua adimu kama kiuno cha nyoka, nauli bure kwa walimu vepeeeee!! Au kamgomo baridi nn
anajaribu kumfunika meya wa jiji,kwa hio wako tayari kushika silaha yeyote ili kumfunikaHiyo project ni ya TCRA mambo ya Postcode, ni ya siku nyingi sana, labda useme anawasaidia kukimbiza hilo zoezi, ila sio idea yake na zoezi la nchi nzima, mimi mara ya kwanza nilipata seminar ya hayo mambo Arusha mwaka 2011 akitoa Bw Innocent Mungi wa TCRA.
Wenzetu wanatumia GPS kujua mitaa na nyumba. Kwenye Google ninaona ni baadhi ya maeneo ya Dar ambayo unaweza kuyaona kwenye GPS mengine ni balaa je mtu wa posta atafikaje wakati wenyeji hawajui majina ya vitalu na no. za nyumba wanazokaa? Elimu kwanza ndo hilo la Makonda lifuate.Nyumba za Daresalam haziko kimpangilio hilo swala haiwezekani kabisa.
swissme
hakuna kipengele cha wanachadema kumpromote katibu mkuu katika job description yake!majukumu yake anayafanya kulingana na katiba ya chama!sasa kama kumpigia vuvu zela ndio job description ya yenu ya kwake ili muitimize,basi endeleeni.Nyumbu wamechanganyikiwa na hawajui washike kitu gani! Nawashangaa badala ya kum "promote" Katibu Mkuu wao Mpya, wamekaa kimya wanajiziuka na matukio. Hawajui hii project ya Postal code ipo hapa Tanzania.
sasa,kama yuko kimya,si ndio furaha yenu?Nyie jamaa mnatakiwa muanze kumpromote katibu wenu, mbona jhiiiiiiiii sana?
Anaji-promote mwenyewe kwa kupiga kazi.Kwa hiyo wewe upo kwenye kum promote Makonda sio ?
hakuna kipengele cha wanachadema kumpromote katibu mkuu katika job description yake!majukumu yake anayafanya kulingana na katiba ya chama!sasa kama kumpigia vuvu zela ndio job description ya yenu ya kwake ili muitimize,basi endeleeni.
sasa,kama yuko kimya,si ndio furaha yenu?
Nadhani hata wewe ni sawa na wewe kama umepata muda wa kusoma message zake zote unao pia muda na huna kazi ya kufanya.Hivi huwa huna kazi ya kufanya masaa yote nikuandika utumbo wako humu si uende kambini ili server za jf zipumue
Ulishawahi niona muda wote naandika uharo kama wako humu siku moja post zaidi ya 20 huo ni ushamba.
sio kwa hili swala niko nimeisha tembea dunia na niko duniani.bongo huwezi kuwa na dream of that kind.labda upanga na masaki tu.Ukiamini kitu hakiwezekani, kweli utashindwa. Ila ukiamini inawezekana utafanikiwa.
Makonda hawezi kutatua hilo tatizo la foleni, yeye mwenyewe anazidisha tatizo, anatembea na msafara na ving'ora. Na hayaoni madhara yake, anafagiliwa njia.foleni
sijui ni nani mshauri wake my be le mutuz.Wenzetu wanatumia GPS kujua mitaa na nyumba. Kwenye Google ninaona ni baadhi ya maeneo ya Dar ambayo unaweza kuyaona kwenye GPS mengine ni balaa je mtu wa posta atafikaje wakati wenyeji hawajui majina ya vitalu na no. za nyumba wanazokaa? Elimu kwanza ndo hilo la Makonda lifuate.
Ht huku tandale kwa bonge ninapoishi hilo suala ni gumu sana.Ni ngumu sana huku kwetu kimara baruti
Haya yaliishia wapi?Nyumba za Daresalam haziko kimpangilio hilo swala haiwezekani kabisa.
swissme
Halafu huyu jamaa anawadanganya watu wasio jielewa tu kiufupi ni kwamba ili barua ziwe zinawafikia watu nyumbani badala ya kutumia sanduku LA barua inabidi serikali ianzishe mfumo wa area codes ambao unaitaji nyumba zote kusajiliwa kuyagawa maeneo ktk mfumo huo,ni suala linalohusu wizara inayohusika na mipango miji si la mkuu wa mkoa na jambo ilo sio geni nimepata kulisikia kipindi cha mama anna tibaijuka alipata kulizungimzia kwamba lilikuwa kwenye mchakato kabla hajangolewa na kashfa ya escrowkwa hiyo matatizo ya watu wa dar ni masanduku ya posta??
Hiyo ya address ni initiative ya watu wa posta siyo ya makundaBaada ya kubadilisha mfumo wa PF3 sasa Mkuu wa Mkoa wa Dar amekuja na nyingine nayo ni kuhakikisha kila Mtaa wa Dar yetu unakuwa na majina rasmi pmj na namba za nyumba, amesema anawaagiza Wakuu wa Serikali za Mitaa wote kulifanyia kazi hilo swala ili Barua ziwe zinaltwa majumbani mwetu na Posta badala ya kwenda kufwata mwenyewe Kijitonyama au Posta!
Endelea kujiuliza maswali kuna mambo mengi sana tunafanya kwa mazoea tu lkn siyo ya lazima na tunaweza kuyabadilisha!Big Up Makonda only sky is the limit man!!!
Mbwembwe zake tuHaya yaliishia wapi?
-walimu kusafiri bure
-kinondoni kuwa na mtaa wa mabar pekeyake