Hilo la majina ya mitaa anachofanya ni msisitizo tu manake limeanza karibu miaka 2 sasa!! Sisi ingawaje tunaishi Uswahilini lakini tayari tuna street names na namba za nyumba for almost 1 year now bila kusahau Post Codes.Usiwe mgumu kuelewa namna hiyo, siyo kazi ya Posta kutoa majina ya mitaa na namba za nyumba bali ni kazi ya Serikali za Mitaa pamoja na Jiji la Dar na ndiyo maana Posta wenyewe ndiyo waliomulika Mkuu wa Dar!
Kuhusu Posta, wao wana nafasi yao ktk hili na Halmashauri pia wana nafasi yao. Wanaohusika na majina ni Halmashauri pamoja na serikali zao za mitaa to street level.