Naagiza vitu kutoka Amazon na China

Naagiza vitu kutoka Amazon na China

Joined
Jan 20, 2025
Posts
34
Reaction score
35
Habari wakuu nishawahi kutoa uzi wa kutafuta ajira but wengi mlinipa ushaur wa kujiajiri mimi mwenyewe. so nimerudi tena kwa wale ambao wanahitaji vitu kutoka amazon au kutoka china kua naagizisha mzigo kutoka sehem hizo na utakua unauona kiganjani mwako mpaka unakufikia ulipo ...
 
Back
Top Bottom