Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

Mwanamke lazima anune nune ndio inapendeza bana... ila huyo wako kazidi sasa... anything too much is harmful...

Nachojua mwanamke mpenzi au mke tayari kununa nuna ndio nature yao, ila ukishampetipeti na kumpiga p.umbu moja tu, hasira na kununa nuna saa hiyo hiyooo inaisha, ww kama mwanaume akianza kununa jihadhari sana usipende kulumbana sana, wanawake hawapendi malumbano sana, kama yuko karibu mkumbatie kwa mahaba kisha mweleze unachotaka kumwambia... mwanaume unatakiwa kuwa na huruma kwa mkeo na familia sana, ila asichukulie hiyo huruma yako kama UDHAIFU, KUKUDHARAU, ASIKUSIKILIZE, aanze mambo ya kitoto kununa wiki nzima, mara akutishie kukuacha hata kwa kitu kidogo, na anarudia rudia tabia hiyo, sijui nn na nn.. ukiona hivyo piga talaka haraka sana, hana adabu huyo, pum.bavu, hakulelewa huyo.. au ana mwanamume ndio anampa kiburi.. chunguza kidogo, nenda deep, kisha.. piga chini, TAKE A RISK usije regret all ur life..!! Maisha yenyewe yamejaa pressure, alafu akujazie mipresha mingine kibaooo kumbe ukute anapigwa pum.bu vibaya mno tu huko nje na msela hadi tigo inaliwa... take a risk man... piga chini... mwanamke wa hivyo mjinga, piga talaka moja kali sana, blalful..!!

Jamaa kama nakuona vile ulivyokua unaaandika
Punguza hasira
 
hapana mkuu naogopa hata kumtia mimba kwa maana vituko ndo vitazidi ndani ya nyumba
Kweli we ndeziiiiiiii. Mwanamke hujazaaaa nae unambembeleza kama mama tena mama mzazi? Mpaka unampikia? Kuna possibility unamfulia na kumwogesha....!!!!!!!!!!!!

Sijawahi kuona mwanaume mpumbavu kama wewe. Ungekua karibu makofi yangekuhusu.

Nawezapata ban sababu yako. Ysaaaani umeniharibia Jumapili yangu.
 
Hapo pana shida.
Nendeni kwenye maombi.
Kuwa mpole sio hofu ya Mungu. Shetani ana mbinu nyingi.
Kama hujui pa kwenda kuomba upate suluhu pm kama uko serious
 
Ulipika viazi na nyama ukazidisha chumvi akazila na kwenda kwa dada yake? Uliombaje msamaha sasa? Ulisemaje ili arudi nyumbani?

Naona tatizo ni wewe sio mkeo
 
Hahaha tatizo mwanaume huyu ana "ubavu" wa kufanya hivyo? Kuna wanaume huthubutu kuwatishia nyau, maana unajua ukizingua tu imekula kwako. Mleta thread sijuiiii. ....
Tatizo naona huyu kaka anaangaliaga movie za kifilipino na mkewe! Waimaliza wanaanza kuigiza wenyewe!

Mke unampikia ananuna kwa kuzidisha chumvi (labda kama alikuwa anaumwa napo sio kununa had kuondoka home)

Unapewa ratiba ya kazi unanuna ( kuna wale utasikia mshinde salama, akiulizwa unaenda wapi ? Utasikia kama mwanaume mizunguko mingi! Ndo kakujibu hivo! Hahahahhaa) (uuuwii nampenda mme wangu Mungu akulinde ulipo mpnz)

Huyo dada ni pepo kwenye hiyo ndoa
 
Ulipika viazi na nyama ukazidisha chumvi akazila na kwenda kwa dada yake? Uliombaje msamaha sasa? Ulisemaje ili arudi nyumbani?

Naona tatizo ni wewe sio mkeo
Aisee unajua nimegundua hawa wanaishi kifilipino!

Unipikie, kosa dogo ambalo hata mimi laweza nikuta eti unanuna hadi kuondoka? Unbelievable
 
Tatizo naona huyu kaka anaangaliaga movie za kifilipino na mkewe! Waimaliza wanaanza kuigiza wenyewe!

Mke unampikia ananuna kwa kuzidisha chumvi (labda kama alikuwa anaumwa napo sio kununa had kuondoka home)

Unapewa ratiba ya kazi unanuna ( kuna wale utasikia mshinde salama, akiulizwa unaenda wapi ? Utasikia kama mwanaume mizunguko mingi! Ndo kakujibu hivo! Hahahahhaa) (uuuwii nampenda mme wangu Mungu akulinde ulipo mpnz)

Huyo dada ni pepo kwenye hiyo ndoa
Teh mume atakuwa anaangalia movie za kifilipino, afu mke anacheck za ki-vietnam. Mmmh mwenzetu hadi anapikiwa mweee, ila kisa chumvi ndo ananuna aiseee

Aaah haya bana, Mungu akutunzie mumeo mwee
 
Dawa ya kiburi ni jeuri na mtu akikupiga ngumi ya sikio akikuuliza unajisikiaje na wewe mtandike ya jicho then muulize unaonaje?
kwa ushauri zaidi njoo pm
 
Mwanaume wawatu kajitutumua kapika kimezidi chumvi kwa bahati mbaya eti mwanamke anachukia anaondoka..ni utoto ulio pitiliza

au ulilazimisha kumuoa hakukupenda?? Mbona anajeuri hivyo
 
Aisee unajua nimegundua hawa wanaishi kifilipino!

Unipikie, kosa dogo ambalo hata mimi laweza nikuta eti unanuna hadi kuondoka? Unbelievable
Ha ha ha we acha tu. Kuna uboya lkn huu umezidi. Sijui ana umri gani huyu?
 
we mpe talaka ili ujue kidume gani kinamtia jeuri

Haa mkuu wanawake ni pasua kichwa.....yaani jamaa kazidisha mchuzi kwenye viazi mama kasepa!hapa kuna kitu muoaji anatakiwa kupeleleza hizo safari za gafla chanzo nini?
 
Kweli we ndeziiiiiiii. Mwanamke hujazaaaa nae unambembeleza kama mama tena mama mzazi? Mpaka unampikia? Kuna possibility unamfulia na kumwogesha....!!!!!!!!!!!!

Sijawahi kuona mwanaume ******** kama wewe. Ungekua karibu makofi yangekuhusu.

Nawezapata ban sababu yako. Ysaaaani umeniharibia Jumapili yangu.
Kioo cha jamii hiki cha kuludishwa stooo
 
Back
Top Bottom