Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

usiache mke kwa ujinga huu! ushamjua usihangaike naye chukulia ni ulemavu wake. Kuna wanawake virangasi shemeji utakuja kulia ukiachana naye endelea na.sala tu mtakaa poa
Huo sio ujinga dadangu, hiyo anayofanya huyo dada ni dharau kubwa sana,
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Utaacha wangapi? Tatizo lako unalazimisha awe kama unavyo taka!; wakti amelelewa kihivyo kwa muda wa miaka zaidi ya 20 hadi kawa teja kihivyo tumia hekima akikua ataacha...halafu hujaeleza kama umesha zaa nae...
 
Wanawake wengi sana wapo wenye adabu zao ,wazuri pia wanakazi asikutishe wala usithubutu kuamini kuwa ukimwacha hutapata mke mwingine rahasaha.
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Pole sana ndugu yangu tuko wengi wenye mambo kama hayo mm nakushauri kama vipi mwache tu asikuone boya bwana

Mimi nataka kumwacha hata huyu wangu maana naona sasa ananiona mm kiazi

Mwanamke anatakiwa kuwa mnyenyekevu msikivu nk kununa kwa mwanamke n kwa sababu gani asikuone mwehu bwana kwani yeye ndio mwanamke peke yake?

Wapo wazuri kuliko yeye na wenye maadili ya ndoa kama akikusumbua achana naye pumbafu

Japo nakushauri hivyo ila hata mm huyu wangu muda sio mrefu nambwaga asijifanye yeye ndio mrembo kuliko wengine aaah
 
acha kumwambia amuache kisa na wewe unataka kuacha wako ili muwe wengi ukiimba wimbo kuwe na mpokeaji.

ndoa ni changamoto huwezi pata mtu wakuishi naye akakufaa kwa kila kitu kuvumiliana lazima! wenzenu wanalia wana matatizo makubwa hayavumiliki wanasalitiwa kila lwo, wameletewa magonjwa n.k hilila kwenu linahitaji busara na mazungumzo ya kina
 
Si huwa tunakosea wapi tunakutanaga,mtu umemkuta kwenye swimming pool anaoga vizuri unaona umempenda unatangaza ndo...ndoa ni zaidi ya muonekano na kipaji cha mtu.
 
acha kumwambia amuache kisa na wewe unataka kuacha wako ili muwe wengi ukiimba wimbo kuwe na mpokeaji.

ndoa ni changamoto huwezi pata mtu wakuishi naye akakufaa kwa kila kitu kuvumiliana lazima! wenzenu wanalia wana matatizo makubwa hayavumiliki wanasalitiwa kila lwo, wameletewa magonjwa n.k hilila kwenu linahitaji busara na mazungumzo ya kina
Sasa kama mwanamke mwenyewe kiburi anajiona yeye ndio zaidi analeta maringo unadhani nitakaa naye vzr kweli??????
Hata mm nina moyo wa nyama bwana asiniburuze kama mpumbavu aaah
Kama angekuwa mstaarabu angeongea na mshkaji vzr kila siku kununa unataka nn kama sio kuachwa na mbaya zaidi unaweza kukuta kuna mtu anamchekea huko nje aaah ujinga huu
 
Duuh kwa mwendo huo mbona atakupelekesha sana anyway pole kwa maswaibu
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Wangu mi alininunia kama siku tatu hivi nami nikamnunua na msosi wake nikaacha kula Jana night nilivyorudi nikamwambia ifikapo asubuhi funga virago uwahi Kwenu wanawake wa kuoa hawajaisha mbona kanyoosha mikono mwenyewe
 
Hana ulokole walokole huwa ni wavumilivu, waaminifu wacha Mungu, si wepesi wa hasira wepesi wa kusamehe.. Wanaupendo wa dhati.. Tabia ya mke imejegwa na wewe mwenyewe, hujakaa kwenye nafasi yako ipasavyo... Mbaya zaidi mkeo kakusoma tabia kakujua kuwa unampenda sana ndio mana anakuendesha km gari bovu.. Kosa kidogo ananuna halafu anaondoka wewe unambembeleza... Hebu fanya hivi japo ni vigumu ila km a nakupenda kweli atabadikika... Akiaga anaondoka mwambie kwa heri... Halafu jitahidi usimpigie wala kumwomba msamaha na hii uwe na uhakika kuwa hujamkosea.. Kwakua amezoea kuwa akiondoka unamtafuta na humtafuti atajiuliza sana.. Mwisho wa siku yeye atakutafufa.. Akikuiliza mwambie uliamua na siku ona sababu ya kupingana na maamuzi yako... Sikukukisea nimekuacha ufanye utakavo ukichoka utarudi.. Onyesha km umechoshwa na tabia zake..
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Shukuru Mungu huyo, kuna wengine kila siku maneno, hawaishiwi maneno yani utashangaa hata siri zako za ndani anatangaza tuu
 
Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Aisee nimeishia hapa sikuendelea kusoma maana nimejikuta nacheka sana......
Pole mzee, achana nae huyo. Ndoa ngumu kweli.
 
usiache mke kwa ujinga huu! ushamjua usihangaike naye chukulia ni ulemavu wake. Kuna wanawake virangasi shemeji utakuja kulia ukiachana naye endelea na.sala tu mtakaa poa
Mkuu hapo nakukatalia nyumba yenye visa vya namna hiyo hata maendeleo ni nadra sana kupata,kwa sababu kila siku mtakuwa mnakalia swala moja tu la kununiana hakuna mipango ya maendeleo,ningekuwa ni mimi hapo siku nyingi sana angeshakula ban ya maisha
 
MBONA MNAISHI KITOTO HIVYO?
samahani lakini?
hata nikiwa na boyfriend enzi hizo nina miaka 14 sikuwa na aina haya ya maisha
 
Back
Top Bottom