Gojaga Nize
JF-Expert Member
- Jul 1, 2015
- 3,177
- 2,538
Huyo ni aina ya Punda bila Mijeredi haendi. Halafu inaonekana unamnyenyekea sana isivyostahili ashakuona we boya tu. Mwanamke akiwa juu siku zote atakutesa, tengeneza mazingira ya wewe kuwa juu kwa vyovyote ili heshima irudi.sasa mk
uu kumtukana anaondoka kwao wiki moja sasa nikimpiga si ndo ataondoka mwezi hadi jeraha lipone
Uhuru wake unaanzia pale mipaka yake inapoishia. Lasivyo huna mke