Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Ili mtubembeleze tukwanini huwa mna tabia ya kununa nuna?
Ili mtubembeleze tukwanini huwa mna tabia ya kununa nuna?
Anaweza fika katikati ya game mke akanuna ghaflaa na akamshusha kwa nguvu hahahahaaaKwa maelezo haya sijui hata kama anapewa mzigo kwa wakati na kwa usahihi?
Mwanaume ukizidi kuwa mpole hadi mjinga napo ni shida. Hana maamuzi kabisa Kwa mkewe.. mke anamtawala hadi basi na ashajua mume hafurukutiUnampenda sana mpk anajua kua kwake amekuweka kiganjani!
Yeye ndo kila kila kitu na wewe kila asemacho hua unafuatisha!
Onesha uanamme wako kaka!
Wanawake sometimes tunajisahau haswa tukiependwaa
Mpe suspension kwanza aende kwao kama miezi miwili hv uone asipojirudi huyoo kongowele!
Means kuna kidume kinampa jeuri!
Penye miti hakuna wajenzi looohh!!!
Hahaha mtoto wa dadaVitu vingine havivumiliki, kila siku kufunga safari na mabegi kwa dada kisa kununa, sasa huyo ni mke au mtoto wa dada.
yaani kama kaka angu namtia vibao kwanza huyu kaka!Mwanaume ukizidi kuwa mpole hadi mjinga napo ni shida. Hana maamuzi kabisa Kwa mkewe.. mke anamtawala hadi basi na ashajua mume hafurukuti
Kanitilia huruma eti "nilipika mchuzi nikazidisha chumvi, akakasirika". Anamsaidia kazi mkewe, ila ndo bahati mbaya. Sio kwa hilo gubu jamani la mwanamke mwenzetu khaaa
Kweli kuna watu bila "kaudikteta" hawaendi kabisaWakati mwingine nahisi kuna wanawake wanapenda kuchapwa makofi. Sasa wa hivi unaishi nae vipi, anyway kila mtu amepewa mzigo kutokana na uwezo wake wa kubeba.
Ungemuacha alafu ndio uje kutuambia ningekuona mwanaume ila hiyo ni oama unatuomba ushauri. Ila liache tu lijinga hlo lirudi kwaoWakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa
Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea
Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi
Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha
Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa
Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Hahaha mtu wa hivi unadhani hata ukimpiga kofi atakuelewa. Unamuacha hivyo hivyo, siku yakimfika kooni utashangaa mabanzi atakayopata huyo mke, kama sio na kutimuliwa juu. Kuna watu ni vipofu wa mapenzi khaaqyaani kama kaka angu namtia vibao kwanza huyu kaka!
yaonyesha huyu mke ni jeuri au limbwata linafanya kazi ipasavyoo!!
hvyo huyu Mme anapaswa kumrudia Mungu haraka maana akili ya kawaida tu hv hakuna wanaume wa hvyoo!!
Ulimpa nafasi ya kukusoma akayajua mapungufu yako, sasa anayatumia kama silaha ya kukiadhibu, anajua kuwa akinuna tu mzee lazima umlambe miguu, pole sana, jifunze kuishi kama mwanaume, vinginevyo hata ukimuacha huyu ukipata mwingine hali itakuwa hiyo hiyo. Sisi Wanawake tuna kasumba ya "kutikisa kiberiti kama kimejaa" kama kimepwaya utaisoma namba.Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
mi rafiki yangu mmoja alitishia nyau kama hvyo mkewe!Hahaha mtu wa hivi unadhani hata ukimpiga kofi atakuelewa. Unamuacha hivyo hivyo, siku yakimfika kooni utashangaa mabanzi atakayopata huyo mke, kama sio na kutimuliwa juu. Kuna watu ni vipofu wa mapenzi khaaq
dawa ya jeuri kiburi. mshauri ampige chiniTunapenda kujinunisha ila huyo wako chiboko
Hahaha tatizo mwanaume huyu ana "ubavu" wa kufanya hivyo? Kuna wanaume huthubutu kuwatishia nyau, maana unajua ukizingua tu imekula kwako. Mleta thread sijuiiii. ....mi rafiki yangu mmoja alitishia nyau kama hvyo mkewe!
akajidai naondoka akamtafutia na gari ya kukodi apakie kila kitu na akalipia yule bi Dada akajifanya napeleka nguo tu kwanza
basi jioni mke huyo kajirudisha anaulizwa anajibu eti pakulala kwao Hamna!
kiranga komoo!!
mwanamke akitaka kuondoka km huyoo muache tu mana zipo sababu za msingi kweli labda ndi aondoke Ila huo upuuzi!
hhhaaahha!!yyaaani kaniudhi mwanaume kweli anakua laini laini Hv?Hahaha tatizo mwanaume huyu ana "ubavu" wa kufanya hivyo? Kuna wanaume huthubutu kuwatishia nyau, maana unajua ukizingua tu imekula kwako. Mleta thread sijuiiii. ....