Naachana na mke wangu rasmi

Huyo kumuacha sio njia sahihi, sana sana atajiona mshindi. So chakufanya wewe mpotezee jifanye kama humuoni na endelea na maisha yako. Kama una Maid home itakua vizuri zaidi kwakua kupika, kufua na matumizi ya home muache ayasimamie.
IV kwanza unajua kuishi Na mtu anae nuna nayo Ni karama iliyo tukuka maana ukinuna sura yawa nzito at kama uji Wa Dona
Umetoka job umechoka unakutana Na iyo sura sebleni alafu anavunga kama akuoni aiseeee .
 
Naam sasa usingemuacha tu kimya kimya? Sisis wana Jf hatuwezi kukuamulia bana, vip ukijua anamegwa na jamaa roho haitauma? If yes muache
 
Aisee hapa nadhani kuna shida sana katikati yako na mkeo, na ninadhani ulikosea kwenye first aproach and treatment kwa mke wako ndio maana kwa sasa unapata shida kumrudisha awe kama mke na mama wa familia kuna mengi sana yanahitajika hapa kutueleza walau washauri tuweze kutafuta suluhu.

Lakini pia hawa biumbe kuna wakati mimba zao zikiwa changa hivi unaweza kutia taraka (baadhi ya wanawake lakin) maana huwa na tabia za ajabu sana kama huna busara unaweza vunja ndoa yako

Ila kama yuko sawa namaanisha hana mimba basi Kuna wakati unatakiwa kuwa mkali na misimamo na kuridhia anacho kitaka ili uweze kupata nin anataka na hapo usubiri chanzo cha ugomvi kiwe yeye, yaan yeye ndio awe mkosaji,

na hata kama atasema anataka kuondoka mwambie nenda na kama umeamua kuondoka usirud hapa tena maana umesha nichosha na tabia hizi ndoa gani imekuwa haina amani kila wakati ni migongano isiyo na tija na kama ataondoka usihangaike naye kabisa na ikiwezekana umblock kabisa ili uweze kupata majibu kama kadhamiria au ni kudeka kwake baada ya kugundua kuwa wewe ni muombaji sana msamaha kwake hata kwa kosa alilo lifanya yeye

Maana umesha mzoesha kuwa akichukia kidogo na kuondoka anajua utamfuata tu, sasa hali hiyo keshaigeuza kama fimbo ya kukuchapia , sasa jaribu kumtilia ngumu na ujikaze hata kama unaona utashidwa kama hanaa nia hiyo ata tafuta namna ya kuupata tu na wewe wala usiwe na presha naye jifanye kama ulisha amua kumuacha iwe zamu yake kukubembeleza, na siku akijishusha na kukubembeleza umsamehe huo ndio utakuwa mwanzo wa nidhamu kurudi. Hawa viumbe ukiona busara imetumika sana sana tena sana na imegonga ukuta tumia udikteta ili mambo yakae sawa.

ANGALIZO: lakin pia katika hili uwe umejiandaa kwamba liwalo na liwe A & B yote yawe majibu sahihi kwako, ila usimpe talaka, kama ni talaka ifuate baada ya hili kukupa majibu.
 
ulimdekeza wewe mwenyewe.ungekuwa mtoa talaka ungeshatoa,mpaka umekuja kuomba ushauri huku basi upo njia panda hauna msimamo mmoja,na ni dhahiri unaogopa kumpa hyo talaka,maana wewe ni kibonde wake na yeye analijua hilosasa hapa huwez pata ushauri kwa hyo ishu yako kwa sababu humu kila mtu na akili yake so utazidi kubaki njia panda tuu.
 
Nitafute nikupe hata buku jero ya vocha....[emoji12]
 
Kuna umuhimu wa kumtandika makofi hata matatu tu akili itakaa sawa
 
Umesema ana hofu na Mungu?Unajua haya maneno huwa yana nitatiza sana kama mtu ana hofu kweli angefanya yote hayo anayofanya?Au mie hiyo hofu unayoingelea siielewi?
Mimi pia aisee linanitatza kwel kila mtu anasema hofu ya mungu
 
Mkuu tumeingiliwa skuiz wacha mungu kila sehem mpk wakweli atujui yupi na muongo yupi
 
Naona kama nafasi yako ya mwanaume hauitendei haki anajua kwake hufurukuti ndio maana anakuzingua sana. Pia nahisi hakupendi au kalazimishwa kuolewa na wewe. Kaa nae chini umweleze na unwambie achague moja.
Kweli. ..huyo Mke hampendi hata
 
Wakati mwingine nahisi kuna wanawake wanapenda kuchapwa makofi. Sasa wa hivi unaishi nae vipi, anyway kila mtu amepewa mzigo kutokana na uwezo wake wa kubeba.
Alafu ni mke wake mtarajiwa alisema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…