Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

Ulipokuwa unapika viazi we Mbaba Mpaka kuzidisha chumvi yy wkt huo yupo wapi au alikuwa anaumwa..Eti Ni mlokole..au Pepo
hhhhhhaaaahhhhaaa!;
Asante sana hili ni pepo hilii!!
 
Mimi nina Mashaka huyo mkeo kuzaa bado, Au ana matatizo kabisa ya kizazi. Swala la kumuacha tafakari wewe mwenyewe kwa jinsi utakayoona inafaa.
 
Ulikosea toka awali, kajua mapungufu yako hilo ndio tatizo.
 
Naona huo uzuri wa mkeo unakuchanganya hadi unasahau kua wewe ndo father house..
Anapokununia halafu unakosa raha jua kwake ni furaha..hebu na wewe mchunie endelea na mambo yako km kawaida ikibidi uchune tu hadi mwezi mzima
 
Naombe umpe namba yangu,maana namuona ni bora kuliko wangu
koment zte hii nimeipenda. bora akupe nmba yke..au mbadilishne. manake wanaume wngine nux hasa..we wko unamuona mmbya na wkt kna wngine ndo wbya bora hyo.
 
Wanawake wanapenda sana kuombwa msamaha! anapenda msamaha mara nyingi zaidi kuliko hata anavyompenda mwanaume wake.

Mwanamke anapokuwa na hasira, takribani nusu anayoyazungumza ni kinyume chake na hayamaanishi.

Wakati mgumu sana kwa mwanamke ni wakati ambao yupo mbali na mwanaume anaempenda kwa dhati, sio mbali kimwili tu hata kihisia pia.

Usimuache mke wako mzuri na mwenye hofu ya Mungu
wote wngekua kama ww hta hyo michepko ingeanzia wp kw mfno. hongera kwa mwnye mume (mkeo/gf) kama nyie ndo mnahitajika..kumuelewa mwnmke ndo suluhishp tosha.
 
Kwa jinsi ulivyo anza kwa kumsifia kuwa mzuri mchamungu hapo huchomoki weye.Kichwa cha habari kilikaa vizuri sasa umekuja kululunganya mambo hapo ndani mpaka nimeshindwa kukuweka penye fungu gani, hata tukishauri hapa mtizamo wako unataka watu wawe upande wako wa kukupa nguvu na uzuri wa Jf wapo wote hao kuna watu wamekuwa upande wako nami nasema wamefanya jambo jema kwa muono wao ila kwa muono wangu hapo ushirikiano sifuri huo ugonjwa wa KUNUNAISM kwa mkeo umezidi kiwango.
 
Ungekuwa umeamua tungeliona kwanza hayo maamzi yako ndo story ikafuata lakini kwa sasa mi binafsi naona ka umejipanga kuomba msamaha tena maana kwa kauli yako uloanza nayo ni nadhahiri bado yuko kwenye mtima wako mi wala si shauri chochote
 
Kama ulifunga ndoa kanisani kuna maneno haya "............KWA SHIDA NA RAHA"

Yazingatie hayo tu then ndipo utakapofanya uamzi mzuri. Hao wanaokushauri umwache mkeo, wao hawajaoa na kama wameoa jua kwamba walisharidhika na hali za wake zao. Nawe ridhika naye, mpe mimba kama hujampa ili atulie tuliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii ingawa nina imani kuna jamaa anamshikisha UKUTA kabla ya Sept 1 ndo maana ana kiburi.
 
Binafsi kuishi Na mtu anae nuna siwezi yaani Mume akianza kununa nuna naona Kama nyumba inakuwa ndogo kama shimo
Ata msichana wakazi akija eti kakosea umseme anune aiseee kesho unaondoka kwangu
Yaani nifanyie vituko vyote ntavumilia sio kununa uwiiii uwiiii siwezi vumilia
 
Back
Top Bottom