Naachana na mke wangu rasmi

Naachana na mke wangu rasmi

Hawa ndio wanaume wenyewe eti!!
Wewe mrembo usitudharau wanaume wote bhana,we mdharau huyo huyo maharage ya Mbeya lakini si wanaume wote coz wengine tunajua kusimamia kucha,yaani mpaka mbunye inatoa upepo wa minyampo au vipi?,yaani ni pra praaa praaa praaaaaa pyeee pyeeee pyeeee na maji yanaruka tri trii triii triii triiii.
 
Tatizo naona huyu kaka anaangaliaga movie za kifilipino na mkewe! Waimaliza wanaanza kuigiza wenyewe!

Mke unampikia ananuna kwa kuzidisha chumvi (labda kama alikuwa anaumwa napo sio kununa had kuondoka home)

Unapewa ratiba ya kazi unanuna ( kuna wale utasikia mshinde salama, akiulizwa unaenda wapi ? Utasikia kama mwanaume mizunguko mingi! Ndo kakujibu hivo! Hahahahhaa) (uuuwii nampenda mme wangu Mungu akulinde ulipo mpnz)

Huyo dada ni pepo kwenye hiyo ndoa
Basi Haleluya nakusubiri PM,uje tupeane chachandu na mbilimbi ili kila mmoja aondoke karowa au vipi?
 
ukiona hivo ujue kuna mtu anampa ujeuri chunguza mapema hizi tabia huwa azifichiki na dalili zinaonesha mahusiano yana muingiliano.na kuna mambo uliya zoesha kwenye mahusiano sasa yamepungua na mtu katumia mwanywa huo.
 
Wakubwa wenzangu habarini za weeekend kwangu mimi weekend yangu haiko powaa kabisaa

Mke wangu ni mzuri ana hofu ya mungu ana kazi pia ananipenda ila huwa ana tabia ya kununa hovyo yaani hataki kukosolewa yaani kila nikimkosoa tutakaa siku tatu bila kuongea akiwa kanuna yaani lazma nimuombe msamaha hata kama kanikosea

Pia huwa ana tabia ya kunijaribu sanaa kama kuna kipindi nilimkuta anaongea na mtu usiku nikamwambia SIKUAMINI nakumbuka usiku ule ule alichukua begi lake akaondoka yaaani ndugu zangu nilifikilia sanaa nilipoksea sikupaonaa ila sikukata tamaa nikzidi kumwomba arudi home niliomba msamaha sanaa kisha akakuali akarudi

Kipindi kingine nilipika viazi na nyama nikazidisha mchuzi sikuamini macho yangu yaaani mamaa alikasilika sanaaa akakataa kula akaondoka kwa hasiraa kwenda kulala kwa dadaake kule pia nilitumia nguvu kubwa kumrudisha

Sasa hii ya sasa ndo imenikatisha tamaa yaani niko kikazi tanga mke wangu kuwa anapiga simu mda wote akidai kanimis nikamwambia ntarudi alhamis but nilipata emergrncy mke akakasirika sanaaa huku akisistiza simthamini pia akidai tuachene tuu sasa jana ndio nilirudi home akanipokea vizuri tuu nikamwomba msamaha kwa kumpa feki promis akasema kanismehe kumbe ana yake moyoni
alikataa kuongea na mimi tangu jana bila mimi kujua sababu hadi asubuhi namuaga naenda kazini kumalizia kipolo cha kazi akakasilika zaidi akaondoka pia kazini kwake bila hata kuniaga kitendo kile kimenishangaza sanaaa

Sasa ntaka nifanye mmamuzi magumu naona antaka ajifanye mwanamme ndani ya nyumba ntaka nimpe taraka naombeni ushauri
Ushauri wangu ni huu
1. Kwa vile kazowea kuschwa na wewe kumrudia kwa kuomba msamaha, anahisi wewe uko chini yake.. Usimpe talaka, mwache aende anakokwenda ila uvumilia kwa miezi kadhaa. Usimuombe msamaua hadi atakapoomba yeye

2. Toa taarifa kwa wanandugu huku ukieleza haya uliyotueleza na uwaeleze nia yako ya kumwacha ILA USIWAELEZE KWAMBA AKIOMBA MSAMAHA ATARUDI
 
Duh... pole xana kaka..... kuhusu kukupenda huyo dda ni hapana....na fanya uchunguze upate jibu nn kinamsumbua ufanye maamuz
 
Hahahaa! Thanks kwa kunikaribisha nije nipate darsa toka kwa mwanandoa! Lakini dah, mwanandoa mwenyewe naona analialia tu hapa halafu mi ndo nina aleji kishenzi na mtu anayependa kulia! Yaani mwanandoa mmoja anapika viaza nyama na mamichuzi kibao ndani yake utafikiri makongoro na mwanandoa mwingine anaamua kususa! Kweli nahitaji darsa manake hapo mimi ningesema "haa! yaani we chuzi tamu lote hili unasusa? shauri yako, ukisusa wenzio twala!"
 
mkuu hiko ni kiburi tena kimezidi sana aisee cha kukushauri...tafuta rafiki yako wa kike panga nae dili siku huyo mkeo akikuretea kiburi mchukue huyo rafiki yako mwingine wa kike mlete hapo kwako mpe maji akaoge ikiwezekana ajifunge kanga tu ili majirani wamuone. hapo lazima mkeo atapigiwa simu huko aliko kuwa umeingiza mwanamke ndani akija na kiburi tena mwambie kuwa umemchoka. achukue kilicho chake talaka itamfuata kwao. wanawake hapo mimi huwa wananikera muda mwingine nawaza sana hadi huwa sipendi kuishi nyumba moja na mwanamke.
 
Back
Top Bottom