Naacha infidelity

Hapana tuna jopo la wachungaji ambao huomba kwa pamoja The Finest: Karibu

Mimi nimezoea kufanyiwa maombi na ile jinsia nyingine hapo ndio upako unaniingia vizuri hawa wengine mimi huwa naona wananisukuma tu kwa nguvu ili nianguke chini nionekane nimepatwa na majini kumbe wapi
 
Roya hivi humwonei huruma Mamsap wako jamani? Au naye ni memba wa ISC?

Namwonea huruma sana na nampenda sana, tuko pamoja kwa karibia miaka 13...(ndo maana hajui, siku akisoma hapa nitakana kwa lugha zote)....
Sio memba wa ISC,kukmbuka mi ni katibu na nina majina wa membaz wote...
 
Mimi nimezoea kufanyiwa maombi na ile jinsia nyingine hapo ndio upako unaniingia vizuri hawa wengine mimi huwa naona wananisukuma tu kwa nguvu ili nianguke chini nionekane nimepatwa na majini kumbe wapi
Kumbuka tuna majopo ya jinsia zote mbili: So worry not utaombewa na Jopo la kina mama!
 
Mimi nimezoea kufanyiwa maombi na ile jinsia nyingine hapo ndio upako unaniingia vizuri hawa wengine mimi huwa naona wananisukuma tu kwa nguvu ili nianguke chini nionekane nimepatwa na majini kumbe wapi

sio bure una lako jambo
 
Namwonea huruma sana na nampenda sana, tuko pamoja kwa karibia miaka 13...(ndo maana hajui, siku akisoma hapa nitakana kwa lugha zote)....
Sio memba wa ISC,kukmbuka mi ni katibu na nina majina wa membaz wote...
Hahahahaha Roya sitaki kuamini kuwa umezidiwa maarifa.... Hivi Caren yuko wapi vile atukumbushie ile slogan yake!! Roya your wife is clever than you!
 
Kama sijui ni nahesabu haipo....kwa hiyo let her be smarter than me....
 
Ok, kwahiyo sasa Roya umeamuaje....?
Unahamia upinzani au unabaki huko kwenu......? :confused2:
 
Nitekelezeeni masharti yangu...

Kwani si uliamua mwenyewe kuja lakini....?
Sikumbuki kutuma invitation letter kwako....:confused2:
Au mnasemaje wenzangu MJ1, Beauty n the team....?
Huyu mtu kwani tulimualika....???
 
tena leo ijumaa ni siku nzuri sana ya kuwachana na mambo machafu hayo!!! lakini naona bado utakuwa unawa-mind sana wenzako kwenye ISC..which is not acceptable....
 
Kwani si uliamua mwenyewe kuja lakini....?
Sikumbuki kutuma invitation letter kwako....:confused2:
Au mnasemaje wenzangu MJ1, Beauty n the team....?
Huyu mtu kwani tulimualika....???

Nimejibu zile kampeni zenu....naona mlikosa watu...sasa mimi najitolea...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom