Naacha infidelity

tena leo ijumaa ni siku nzuri sana ya kuwachana na mambo machafu hayo!!! lakini naona bado utakuwa unawa-mind sana wenzako kwenye ISC..which is not acceptable....

Sasa sijui nikutaje kwa masharti??
 
Natokea GEUST muda huu.....hapa mnadiskasi nini vile?:A S 13:

Umeamka kiongozi....hapa tunadiscuss kujiunga na wapinga infidelity ili kutopinga infidelity..
 
Nakumbuka Smiles na Beauty waliniambia leo wangependa kuungana nasi pale ISC PUB ili wakamate raundi ya valuuu na mnyama kilo 7 na ndizi 10
 
Well done Ra Roya,
You remind me of a very good English word tuliyojifunza pale Mbweni (By the way ni kule chuo cha Usalama wa Taifa).

The word and its meaning is given herein below:
in·fil·trate (n-fltrt, nfl-)
v. in·fil·trat·ed, in·fil·trat·ing, in·fil·trates
v.tr.
1.
a. To pass (troops, for example) surreptitiously into enemy-held territory.
b. To penetrate with hostile intent: infiltrate enemy lines; terrorists that had infiltrated the country.
2. To enter or take up positions in gradually or surreptitiously, as for purposes of espionage or takeover: infiltrated key government agencies with spies.

3. To cause (a liquid, for example) to permeate a substance by passing through its interstices or pores.
4. To permeate (a porous substance) with a liquid or gas.
v.intr.
To gain entrance gradually or surreptitiously.
n.
One that infiltrates, especially an abnormal substance that accumulates gradually in cells or body tissues.

Ladiea watchout. Naona chama chao kimeamua kuingilia katika himaya ya wadada wa JF. Mi nami nina swali la kizushi:

Hivi inaruhusiwa kwa mwanaJF kumtafuna au kumuinfidelity mwana JF mwenzake? If the answer is No then lets ban Roya Roy kwa kuonesha nia ya kutafuna wenzake kwa kisingizio cha kuacha cheo chake katika ISC.

Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao

vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it’s only a Friday nawasilisha….
Katibu.
 
Itabidi tutunge sheria ili kuweza kudhibiti hawa wanataka kuhama timu kwasababu mbinu za ushindi, kamati za ufundi na kila kitu vinaweza kuwa in jeopardy

i remain ISC member
 
Morocco hawana ujanja lazima tuwapige bao.
Umeamka mweka hazina?? Au kuna mistari hapo.... Hebu ongea na Caren bana, mwambie ameamua kustaafu mapema mno..
Itabidi tutunge sheria ili kuweza kudhibiti hawa wanataka kuhama timu kwasababu mbinu za ushindi, kamati za ufundi na kila kitu vinaweza kuwa in jeopardy

i remain ISC member
Mkuu ondoa shaka...si kambi yetu inarusuhu uanachama wa pande zote?:fish2::fish2:
 
Mi nimeuliza swali!! Inaruhusiwa kwa mwanaJF kumtafuna mwanaJF mwenzake? if yes naweza fikiria kutoka katika kustaafu kwa ajili ya kukutempt urudi kwenye chama chako. Na wewe utapaswa kuonyesha nia ya kweli ya kuacha kutamani na kumcha BWANA. (Mind you, you will not get me to bed you but at least nitafanikiwa kukuleta kwa kitanda, nitakuchojoa na kukuacha solemba kama nilivyokuwa nafanya zamani enzi zangu za kuwa katika game).
 
Ruksa kuinfii jf, ila angalia usipigwa ban ya maisha.. (nasema no exceptions, nimesema kama katibu hapa)....
Hiyo ya kuniacha solemba imekaa vizuri sana...tuifanye lini???:A S-heart-2:
 
Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it’s only a Friday nawasilisha….
Katibu.

Hii ina harufu ya infidelity^2
Mbona umechagua kukutana faragha na wadada tu? kwani huko upinzani hakuna wakaka? naona wakaka ndo wangekupa counselling ya nguvu bila kukwazana
 
Namtafuta mwanangu Caren...kuna mtu kamwona? Mkimwona tafadhali mwambieni baba yake namtafuta eti!
 
Itabidi tutunge sheria ili kuweza kudhibiti hawa wanataka kuhama timu kwasababu mbinu za ushindi, kamati za ufundi na kila kitu vinaweza kuwa in jeopardy

i remain ISC member

Kamanda! Leo sijavaa mawani yangu..... Kuna mtu kajitoa kwenye chama tawala?:A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
 
Ruksa kuinfii jf, ila angalia usipigwa ban ya maisha.. (nasema no exceptions, nimesema kama katibu hapa)....
Hiyo ya kuniacha solemba imekaa vizuri sana...tuifanye lini???:A S-heart-2:

Hahaaa hii itakuwa under my terms and conditions. First of all i am going to change my identity and will pounce on you without you knowing you are dealing with Caren. You will know it when i report the outcome here. So if i make the decision i will go into the game. The good thing thanks to some outspoken JF members i have a pretty good idea of where to find you and tempt u!!
 
Mama hiyo avatar yako..
 
Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it's only a Friday nawasilisha….
Katibu.
The Following 8 Users Say Thank You to Roya Roy For This Useful Post:

Askofu (Today), Asprin (Today), Beauty (Today), Egyps-women (Today), funzadume (Today), golder (Today), Msanii (Today), The Finest (Today)​

Ahaa! Sasa ndo naelewa! Kumbe katibu yuko kazini!

Ngoja nikaanzie peji ya kwanza......Hili sredi mmelikimbiza sana bana!:llama::llama::llama:
 
hata mimi nimeliona hili. katibu anatafuta new members kwa style yake. na hivi yeye ndo katibu, huko faragha alikoomba atakuwa akitoa kadi ya uanachama kila baada ya meeting.
Good strategy!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom