Naacha infidelity

uliotutaja wote hapo juu(except eliza) tulikuwa tunapiga maombi jana, hatukuwa na huyo mtu kbs.

Hivi hamfanyagi maomi kwa watu wawili wawili...kama mimi na wewe hv...
 
Well...hiyo gumu sana....
Sasa ni lini utanishawishi....
Roya............. kama unakiri kuwa ni ngumu basi ushafell interview.... Baki huko huko utabadilika tu baadae- Kea nguvu ya maombi ya chama pinzani.

Fighting for ---- Infii- free society-----
 
Roya............. kama unakiri kuwa ni ngumu basi ushafell interview.... Baki huko huko utabadilika tu baadae- Kea nguvu ya maombi ya chama pinzani.

Fighting for ---- Infii- free society-----

Kuna kujitoa kwa infidelity na kuna kupinga infidelity...sasa wewe unafanya lipi hapa...
 
Wadau, mabibi na mabwana…
Baada ya kutafakari kwa kina, nimefikia uamuzi wa kuacha kabisa infedeility….
Sasa kwa kuwa basi mi katibu mkuu wa kambi yetu shupavu, nina masharti madoooogo tu ya kujiunga na kambi ya upinzani….
1. Upinzani wanihakikishie hawatanilazimisha kutoa hotuba ya kupinga infidelity wakati najua infidelity is there to stay
2. Nitapata mapokezi ya kishindo i.e. kupewa muda wa kuwa faragha na wafuatao:
i. Smiles (asiogope itakuwa bedless bedroom)
ii. Beauty
iii. Mwanajamiione
iv. Carmel
v. Nyamayao
vi. Wengineo kama itakavyoipendeza ISC...
3. Rule 3 iruhusiwe kutumika kwa hao wa juu….ni muhimu mwenyekiti, mhazini, mfalme na washauri na membaz wote wakaridhika na hatua yangu
As it's only a Friday nawasilisha….
Katibu.

Are you on Cracks??

Valuer bado ziko kichwani

Wonderful... hata wanachama wenzako wanakushangaa..

Sio Bure nadhani una hangover au lipo linalokusibu hahahahahah:blah:

Majani yale...

Kwanza hapo upo wapi?????? isije ukawa bado upo gesti hausi

Yamemkuta...

Ni hito tumasharti tudogo tu mnitekelezee...:A S 8:

Ukiamua kufanya kitu kwa moyo wako unaweka masharti ya nini, kwani walikuita?? Acha kiherehere...

yani unataka wote hao? ushakua mswati nini?? duh, hiyo list naiona kama umeiweka kwa order maalum au ni random tu?

More doubts from your fellow members...

Sasa msinihuhukumu kabla ya kunipa nafasi....hebu nipeni nafasi kwanza ndo mnihukumu....

Nafasi ya ku-demonstrate u-zuma wako?? Mbwa Mwitu akaribishwe kwenye zizi la Kondoo?? :crazy::crazy::crazy:

Naona anataka kutumia mfumo wa kifalme wa kujilimbikizia mali na madaraka
:boom:

Weekend Njema...
 
Are you on Cracks??

Wonderful... hata wanachama wenzako wanakushangaa..

Majani yale...

Yamemkuta...

Ukiamua kufanya kitu kwa moyo wako unaweka masharti ya nini, kwani walikuita?? Acha kiherehere...

More doubts from your fellow members...

Nafasi ya ku-demonstrate u-zuma wako?? Mbwa Mwitu akaribishwe kwenye zizi la Kondoo?? :crazy::crazy::crazy:

:boom:

Weekend Njema...

Ili hii dhamira iwe effective nahitaji maombi....wondering if sister gabriela is around...
 
INFII wote jhuuu
naona watani zetu povu limewakauka kuona ROYA R|OY anakatiza mstari kwenda kwao
 
Are you on Cracks??

Wonderful... hata wanachama wenzako wanakushangaa..

Majani yale...

Yamemkuta...

Ukiamua kufanya kitu kwa moyo wako unaweka masharti ya nini, kwani walikuita?? Acha kiherehere...

More doubts from your fellow members...

Nafasi ya ku-demonstrate u-zuma wako?? Mbwa Mwitu akaribishwe kwenye zizi la Kondoo?? :crazy::crazy::crazy:

:boom:

Weekend Njema...

Infi Askofu yaani fungu langu la kumi niliotoa wewe ndio unaenda kulitumia kwa Eliza
 
mbona mnanichanganya sana jamani na vidosho wenu, akhaa!!

Hapana wewe na Eliza ni tofauti tatizo unamkumbuka sana Eliza kwa kuwa anatoa huduma nzuri sana na huwa ana keep secret zako ukiwa unaondoka usiache kumpa TIP
 
INFII wote jhuuu
naona watani zetu povu limewakauka kuona ROYA R|OY anakatiza mstari kwenda kwao

:fish2::fish2::fish2::fish2:....(ntawaatarifu idadi ya samaki niliokamata)
 
Kuna kujitoa kwa infidelity na kuna kupinga infidelity...sasa wewe unafanya lipi hapa...
Roya kumbuka katika IPC tunaongozwa na Ilani isemayo
Infidelity is a source of all conflicts, it is responsble for more than half of all divorces. Nothing destroys trust and confidence in relationship quicker like it. It does not only break marriage vows but also seriously undermine the Institution of marriage. It embarrasses and humiliates the offended part, creating feelings of inadequacy and self doubt. It is by far the hardest mistake to forgive in a marriage. H.M

:A S-frusty::grouphug: Let us unite against it (Babu, Teamo, Kaizer na wanachama wengi tu wa ISC wamesharudisha kadi zao na kuzikabidhi kwa uongozi wa IPC ndio maana huwasikii leo hapa)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom